Mkuu,Udakatari wa heshima unaweza hata kujipa mwenyewe.Kama Chuo kimeamua kumpa Musukuma PHD ya heshima unaonaje kama na wabunge wengine wanojua kusoma wakienda kujikusanyia hizo digirii za heshima?Taaluma inashushiwa hadhi mtu wa K3 kupewa u Dr
Kwani Musukuma kuitwa DR inakupunguzia nini wewe!! Acha unafiki wewe dadaKamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.
TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.
Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.
View attachment 2034840
Acha wivu bro!!!Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.
TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.
Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.
View attachment 2034840
Kumbe hata Hawa wenye hadhi ya Dr, hawataheshimiwa tena.Acha wivu we we kwani msukuma amehakikiwa na anastahiri kuwa hata professor. TCU unataka wafanye nini nawakati waliomtunuku ni chuo kikuuu cha kimataifa ulimwenguni koteee. Kuanzia Leo anaitwa Dr. Msukumaaa.
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo hili mpaka sasa teyari limezua mjadala mpana mitandaoni.
Tamko lao ni wazi litazua mjadala mpya iwapo kweli chuo hicho hakitambuliki lakini watakuwa wamemaliza utata uliopo na zaidi watakuwa wamesaidia wengine wasitapeliwe iwapo chuo hicho kweli ni cha kitapeli kama inavyodaiwa.
TCU timizeni wajibu wenu na tukio hili liwaamshe muweke mikakati kuhakikisha jambo hili halijirudii tena hapa nchini vinginevyo tutahisi na nyinyi ni sehemu ya tatizo.
Hili inawahusu either moja kwa moja au vinginevyo.
View attachment 2034840
Anastahili tena sana, na bora aliishia darasa la 7a na ana manufaa sana kwa jimbo lake na taifa. Wako wengi wamesoma mpaka wamepata phd ya darasani lkn hawana msaada kwenye jamii na cv zao lundo, (big up joseph kasheku msukuma).
Kuna watu wana ma phd za darasani lkn hata ulkiwaiza wenyewe wana mchango gani kwa taifa watakwambia hawajuhi zaidi ya kuwafisha mitihani watoto wa wenzao.
Ndio maana Haji Manara uwa namwita Dr. Haji Manara sababu nimemtunuku PHD ya heshima kwenye maswala ya Kuongea na Usemaji!Mkuu,Udakatari wa heshima unaweza hata kujipa mwenyewe.Kama Chuo kimeamua kumpa Musukuma PHD ya heshima unaonaje kama na wabunge wengine wanojua kusoma wakienda kujikusanyia hizo digirii za heshima?
Udokta sio mdhaha. Mwakiembe anasemaje kwen!?πππanasema ni PhD ya life experience in Political Science and Leadership.
Msukuma mwenyewe hapendi wasomi na hujisifu na darasa lake la saba. lao hii ana shahada ya juu kabisa ambayo kapewa na wasomi .bila kusomaAcha wivu bro!!!
hupendi kuona Msukuma ana makaratasi
Kielim bado uko mbali saaanaa.Kumbe hata Hawa wenye hadhi ya Dr, hawataheshimiwa tena.
Kwa msukuma sio feki degree isipokua ni degree ya heshima. Hizi degree huwa hazisomewiii chuo chochote anapewa mtu yoyote kulingana na majukum anayofanya kila sikuuu. Kwa Dr msukuma ni sahihi kabisaa isipokuwa kinachowawasha watu ni tofauti zetu za kisiasaa na dharau zetu za kinyumbaniii. Tupendane basiiii.
Kabisaaa. Na sio yeye tuuuu wapo wengi hata hapa Tanzania wanazooo.Wamwache bwana mbona profess maji mrefu walimuacha
Hicho chuo kilichompa hiyo PhD ndiyo feki sasa kama chuo ni feki unaiamini hiyo shahada waliyotoa?Kwa msukuma sio feki degree isipokua ni degree ya heshima. Hizi degree huwa hazisomewiii chuo chochote anapewa mtu yoyote kulingana na majukum anayofanya kila sikuuu. Kwa Dr msukuma ni sahihi kabisaa isipokuwa kinachowawasha watu ni tofauti zetu za kisiasaa na dharau zetu za kinyumbaniii. Tupendane basiiii.
tulia wewe acha povu na sisi pia tunastahili UdoktaTaaluma inashushiwa hadhi mtu wa K3 kupewa u Dr