mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 608
- 301
kindly be informed that tcu and nacte will jointly release names of application on 22nd september 2014
so wat???? wtf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kindly be informed that tcu and nacte will jointly release names of application on 22nd september 2014
nipo naziangalia hapa kwa anaye taka anipe namba ake ya 4m4 mwaka alio malizia na majina ake mawili la kwanz n mwisho
Mzigoooooooooooooo umetemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
s2542/0023/1992
jamani course ya bachelor in adult and education continuing imekaaje?
Jaman wenzet mnaingilia website gan mbona mi sion chochote?? Msaada tafadhal
Umechelewa. Hiyo website ya kuangalizia selection kwa sasa imefungwa ilikuwa hewani jana kwenye saa mbili hadi saa sita kasoro
Wasengerema sanah hawa tcu
Nimeamka saa 8 Usiku na bado ilikuwa haifunguki sasa unataka kusema ni watu wengi walikuwa wanaifungua mda huo??Hahah Itakuwa imeelemewa na watu
Nimeamka saa 8 Usiku na bado ilikuwa haifunguki sasa unataka kusema ni watu wengi walikuwa wanaifungua mda huo??