TCU wametoa post tayari

TCU wametoa post tayari

sua kozi ya food science and technology,mnaonaje wadau?????,mnaofahamu tafadhali
 
Tcu hawako civilized kabisa!

Selection kwa baadhi ta watu tu kwanini?

Bado nawasubiri...
 
Jaman wenzet mnaingilia website gan mbona mi sion chochote?? Msaada tafadhal


Umechelewa. Hiyo website ya kuangalizia selection kwa sasa imefungwa ilikuwa hewani jana kwenye saa mbili hadi saa sita kasoro
 
Back
Top Bottom