Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

nimekumbuka halafu kuna vidume vinavaa chupi badala ya kuvaa boxer! wanatuaibisha sana hili tutalipeleka kwenye kamati ikibidi tuwakague wajumbe wote!,isijekuwa tunajadili kumbe tupo nao humohumo wamezivaa si unajua tena kikulacho ki....!
Aisee chupi Tena Karne hii😀😀😀 zile za ragi Tatu
 
Okay me napenda kuvaaa
Ngoja ni pinpoint kitu.....
Kote upo sawa kabisa.

ila mimi kwenye Jeans zenye mikato huwa unyama ni mwingi ila overday sivai crazy.

Occassionally kuvaa crazy sio mbaya kwa overnight occassions kama club and the likes.
 
Back
Top Bottom