Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Mbali na vivutio vyetu sisi mwenyewe tu ni vivutio, tunafurahisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watanzania ni kati ya watu wachache duniani wenye kuvumilia shida zao kwa kufurahisha watu.
hahahaha tanzania raha sana bado hujaweka kivutio kikuu LemutuzMbali na vivutio vyetu sisi mwenyewe tu ni vivutio, tunafurahisha
Mbali na vivutio vyetu sisi mwenyewe tu ni vivutio, tunafurahisha
Watu wataogopa kufanya kazi na wabongo khaaaaaahahahahah mashabiki hao ni vichaa kabisa hahaha
🤣🤣🤣🤣Zari kwa Sasa kapumua wame geuka kwa huyu