Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Huyu kaka atajuta!!! Usiombe viumbe wa Instagram wakakufungia mtaa ashukuru tu kinge kinawapiga chenga wanamchamba kiswahili, siku nyingine sijui kama atakubali kufanya kazi na wabongo...
Kiki nnya nazo zinaponza ndo nini kutangaza upo kwenye uhusiano na mtu wakati ni kazi tu kaka wa watu alikua "video queen"
yanayomkuta Josh leo harudii...
Kiki nnya nazo zinaponza ndo nini kutangaza upo kwenye uhusiano na mtu wakati ni kazi tu kaka wa watu alikua "video queen"