Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Daftar za nin mkuu
Nyie vijana...sikilizeni wenzenu wasemacho mkija huku tunawatoa umaarufu tunawajengea ukakamavu...tukutane main gate siku ya kuripoti
Aende mtabila kuna maafande peace sana kamanda major GB kazaula na msaidizi wake major Tj ngailo kuna maluteni wako poa sana mfano luteni aj massawe ,Lt SK mwakyobwe,Lt chiteji(huyu ni chief wa ma mp),Lt nyakohanda ng'oncho lusui haahahaha wako safi hawa watu pamoja na RSM wa pale babu Fulani hivi ana mustacho yeye ni Warrant officer I mtabila utakula sana ndizi parachichi maembe Hadi utachoka
Lt.Sk Mwakyobe yupo mtabila siku hizi!? One of the great man... Wakati naenda Tpdf huyu jamaa ndo aliokoa maisha yangu.. Mungu amsaidie daima, kama una mawasiliano yake nipatie Tafadhali..
Another thing... Kwann madogo mnakua waoga!? Njooni huku ni kulijenga Taifa tu, haya mnayoambiwa mwisho main gate.. Ndani ya kambi mambo mapyaa.
Mkuu yupo mtabila pale ngoja nitafute namba ya MTU wa pale akuunganishe nae
Kama hujui kitu kausha, kwenda kupiga depo la mujibu huko 824kj, na ukala chatu kidgo huko isikupe ujasiri wa kujiona system nzima ya jeshi unaijua, by the upo kwenye level ndogo tu , wanaojua system wanakuona na wew bado mzalendo tu.
Mwaka 2015, vijana wa mujibu wanaanza kuripoti 8/06.
wale wa kujitolea hawajapangiwa bado.
Kama hujui kitu ni bora huulize.
Ndio bado luteni though kwa umri wake ingefaa angepanda kidogo hata kuwa captain
Yeah.. Ni wazamani sana huyu alipaswa kuwa juu zaidi.. May hajapata nafasi.. Make sure napata mawasiliano nae.
Hata mm najua hivyo, kuna mdogo wangu form yake ilishasainiwa mpk kwa mkuu wa wilaya bt mpk now hawajaenda
Yeye ni mujibu ? Au kujitolea
Kujitolea
Vijana wa mujibu mambo vp!!
Naona kila anayekwenda kambini simu yake haipatikani.
Tutarifiane utaratbu wakuu
Wakujitole walishaenda,wanamaliza Mwez wa tisa
Mi siwatishi bt nimewaambia ukweli na wakirud watatupa ripot...katka kambi zote za jkt tanzania...kanembwa ni noma kwa kuwasaidia ingien gugo andka 824kj kanembwa utapata ripot...
Na kule hutakiw kujfanya kiherehere au mbish.
Hakuna chanzo chochote from google inayotoa report ya mafunzo ya jkt.Ile ni siri ya kambi acha kupotosha wewe
Hacha uongo bwana.Hamna wakujitolea aliefika huku.