Team Kanembwa tukutane hapa

Team Kanembwa tukutane hapa

Daftar za nin mkuu

Kuna muda wa pindi kule hasa mambo ya battle drill (platoon na section) mnafundishwa zinakuwaje kuwaje na mambo ya aina za silaha(sar56, smg56) na mambo ya rank of classification za jeshi
 
Aende mtabila kuna maafande peace sana kamanda major GB kazaula na msaidizi wake major Tj ngailo kuna maluteni wako poa sana mfano luteni aj massawe ,Lt SK mwakyobwe,Lt chiteji(huyu ni chief wa ma mp),Lt nyakohanda ng'oncho lusui haahahaha wako safi hawa watu pamoja na RSM wa pale babu Fulani hivi ana mustacho yeye ni Warrant officer I mtabila utakula sana ndizi parachichi maembe Hadi utachoka

Lt.Sk Mwakyobe yupo mtabila siku hizi!? One of the great man... Wakati naenda Tpdf huyu jamaa ndo aliokoa maisha yangu.. Mungu amsaidie daima, kama una mawasiliano yake nipatie Tafadhali..

Another thing... Kwann madogo mnakua waoga!? Njooni huku ni kulijenga Taifa tu, haya mnayoambiwa mwisho main gate.. Ndani ya kambi mambo mapyaa.
 
Mkuu yupo mtabila pale ngoja nitafute namba ya MTU wa pale akuunganishe nae
 
Ndio bado luteni though kwa umri wake ingefaa angepanda kidogo hata kuwa captain
 
Kama hujui kitu kausha, kwenda kupiga depo la mujibu huko 824kj, na ukala chatu kidgo huko isikupe ujasiri wa kujiona system nzima ya jeshi unaijua, by the upo kwenye level ndogo tu , wanaojua system wanakuona na wew bado mzalendo tu.

Mwaka 2015, vijana wa mujibu wanaanza kuripoti 8/06.
wale wa kujitolea hawajapangiwa bado.
Kama hujui kitu ni bora huulize.

Hata mm najua hivyo, kuna mdogo wangu form yake ilishasainiwa mpk kwa mkuu wa wilaya bt mpk now hawajaenda
 
Ndio bado luteni though kwa umri wake ingefaa angepanda kidogo hata kuwa captain

Yeah.. Ni wazamani sana huyu alipaswa kuwa juu zaidi.. May hajapata nafasi.. Make sure napata mawasiliano nae.
 
Vijana wa mujibu mambo vp!!
Naona kila anayekwenda kambini simu yake haipatikani.
Tutarifiane utaratbu wakuu
 
Karibu sana mzalendo wangu.Mtatukuta hapa tunawasubiri kwa hamu tuwafundishe ukamanda.
 
Mi siwatishi bt nimewaambia ukweli na wakirud watatupa ripot...katka kambi zote za jkt tanzania...kanembwa ni noma kwa kuwasaidia ingien gugo andka 824kj kanembwa utapata ripot...

Na kule hutakiw kujfanya kiherehere au mbish.

Hakuna chanzo chochote from google inayotoa report ya mafunzo ya jkt.Ile ni siri ya kambi acha kupotosha wewe
 
Hakuna chanzo chochote from google inayotoa report ya mafunzo ya jkt.Ile ni siri ya kambi acha kupotosha wewe

Cjasema kuna siri za kambi...therefo cjampotosha mtu,jus read tha whole thread utaelewa...au google af utajua nlichokimaanisha
 
Nimeskia wakujitolea wameshapangiwa kambi ila tetesi kujoin ni mwez wa 9 au 10, mwenye ukwel juu ya hilo atujuze
 
Back
Top Bottom