Team Kanembwa tukutane hapa

wakujitolea waliingia mwezi wa saba and now kuna tetesi kuwa wanamaliza this month...tumeenda na tumerudi ...thanks to god....ingawa kila kitu kinazoeleka.
 
wakujitolea waliingia mwezi wa saba and now kuna tetesi kuwa wanamaliza this month...tumeenda na tumerudi ...thanks to god....ingawa kila kitu kinazoeleka.

wale hadi miezi 6, so hawawezi maliza this month maybe hadi mwezi wa 2 huko.
 
kuna baadhi ya ma afande walisema kwa sababu ya inatakiwa wamalize na president anaendoka.......na hii ni kwa majeshi yote yaani polisi,magereza n.k
 
Hakuna wakujitolea hawaendi kufanya demo ya cozi kule ni mpaka wamalize miez sita
 
Nadhani mliobahatika kupangwa combania yenye maafande hawa basi ntakua mmeiva
1.mchanyambe
2.mkumba
3.magesa
 
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa
eti ni kambi gani ngumu kushinda zote tanzania hii. mm napakubali mafinga ila nataka nijue hiyo ngumu zaidi
 
wale hadi miezi 6, so hawawezi maliza this month maybe hadi mwezi wa 2 huko.
ni kambi gani ngumu kushinda zote? plz nifahamishen na ambayo ipo simpo tuu. naskia mafinga ni balaa ila cna uhakika
 
ni kambi gani ngumu kushinda zote? plz nifahamishen na ambayo ipo simpo tuu. naskia mafinga ni balaa ila cna uhakika

We fungua moyo tu kapige coz mkuu hakuna kambi nyepesi by the way mi nlikua kanembwa 2013
 
kwnn ninywe maj ya kutosha au kule maji ya shida
Kama ulizoea kikombe kimoja jitahidi uwe unamaliza hata lita 10 kwa siku, maji n muhmu husaidia ktk kukimbia, goose match na mazoez yote mana mwili utakuwa safi, pumzi haiwai kukata na koo halitakauka mara kwa mara.
 
Una bahati Daka nyama kafariki Pumzika Afande
Mungu amlaze mahali pema peponi...nakumbuka 2013 jioni tumeenda kula nilikuwa nimekanyagia raba kama sandles akaniita basi nikaenda kwa bashasha najua ananivusha mstari nisisimame sana aisee alinipa makonzi kama 4 hivi hadi hamu ya kula iliisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…