Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakujitolea waliingia mwezi wa saba and now kuna tetesi kuwa wanamaliza this month...tumeenda na tumerudi ...thanks to god....ingawa kila kitu kinazoeleka.
eti ni kambi gani ngumu kushinda zote tanzania hii. mm napakubali mafinga ila nataka nijue hiyo ngumu zaidiTuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa
ni kambi gani ngumu kushinda zote? plz nifahamishen na ambayo ipo simpo tuu. naskia mafinga ni balaa ila cna uhakikawale hadi miezi 6, so hawawezi maliza this month maybe hadi mwezi wa 2 huko.
daka nyama ndo nan tena mkuu
ni kambi gani ngumu kushinda zote? plz nifahamishen na ambayo ipo simpo tuu. naskia mafinga ni balaa ila cna uhakika
kwnn ninywe maj ya kutosha au kule maji ya shida
821kj bulombora
Mim naenda kambi yyte ile japo sijachaguliwa ila napenda kwenda jifunza over
Kama ulizoea kikombe kimoja jitahidi uwe unamaliza hata lita 10 kwa siku, maji n muhmu husaidia ktk kukimbia, goose match na mazoez yote mana mwili utakuwa safi, pumzi haiwai kukata na koo halitakauka mara kwa mara.kwnn ninywe maj ya kutosha au kule maji ya shida
Mungu amlaze mahali pema peponi...nakumbuka 2013 jioni tumeenda kula nilikuwa nimekanyagia raba kama sandles akaniita basi nikaenda kwa bashasha najua ananivusha mstari nisisimame sana aisee alinipa makonzi kama 4 hivi hadi hamu ya kula iliisha....Una bahati Daka nyama kafariki Pumzika Afande