TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

Hao wazanzibar kama wanataka huo utaratibu wafunge virago vyao waende saudi arabia huko, watukabidhi Tanzania bara kisiwa chetu.
Usichokijua ni tanganyika kwa sasa ni koloni la zanzibar
 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina makosa sana, HAKUNA sheria yoyote inanyosema ama kukataza watu kutokula wakati wa mfungo wa Ramadhani, wanayofanya walalahoi wa kule kukamata wenzao wanaokula mchana ni makosa na serikali iko kimya kana kwamba wanaunga mkono huu ujinga. Serikali ilaumiwe kwa ujinga huu.
Kuna sheria na taratibu,
Utaratibu wao ndio huo hamuwezi ondokeni na hizi kelele hazijaanza leo
Hivyo ondokeni au vumilieni
 
Kuna sheria na taratibu,
Utaratibu wao ndio huo hamuwezi ondokeni na hizi kelele hazijaanza leo
Hivyo ondokeni au vumilieni
Serikali haijakataza watu kula mchana sema kosa lao ni kule kunyamaza na kuwaachia vibaka kupiga watu kiholela, kama ingekuwa anayepigwa naye anawageuzia kibao vibaka lazima serikali ingeingilia kati na kumshitaki huyo anayepigwa kuwageuzia vibao vibaka. Serikali ina makosa hapa.
 
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina makosa sana, HAKUNA sheria yoyote inanyosema ama kukataza watu kutokula wakati wa mfungo wa Ramadhani, wanayofanya walalahoi wa kule kukamata wenzao wanaokula mchana ni makosa na serikali iko kimya kana kwamba wanaunga mkono huu ujinga. Serikali ilaumiwe kwa ujinga huu.
Hakuna mtu aliekatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Back
Top Bottom