TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.

Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.

Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.

Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.

Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.

Nawasilisha
Rais dhaifu lazima alete mgawanyiko katika jamii. Samia akataliwe na watanganyika wote, asirudi ikulu 2025
 
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.

Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.

Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.

Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.

Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.

Nawasilisha
Bibilia imetuonya, tusishindane na watu waovu, adui no 1 wa Yesu kristo ni Muhamadi, hilo liko wazi, ndomana wanatutafuta na watatutafuta hadi kiama, huo mi mpango wa shetani kupambana na kristo.
 
Mbona Mna dini za kikristo na Kiislam na Ndo zilichangia kuleta huu Utumwa unaosema??

Vipi kama Chombo cha utumwa mmeuacha huu udini??
Mazuri tumeyachukua na mabaya tumeyaacha, sasa kwa jinsi watu fulani hivi walivyo mapunguani vitu vizuri wanaacha halafu wanang'ang'ania vya kijinga na vya kipuuzi
 
Sasa unaachaje na Viko Kwenye Biblia na Quran???
Kwahyo unapuuza biblia na Quran??
 
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.

Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.

Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.

Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.

Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.

Nawasilisha
Punguza propaganda za uzushi
 
Mimi navyoona hapo wakristo sikukuu Yao ya pasaka wataisoma namba ! Kwa Kweli zanzibar Siyo sehemu salaama kwa wakristo
 
Upuuzi huu wanaoulea ni Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasan. Haiwezekani watu wana pigwa mijeredi kisa Eti wanakula hadharani katika nchi yao wenyewe. Hii ni karne ya 21 na sisi Tanzania au tuseme Tanganyika kwa Ustaarabu wa karne ya 21 tumekubali kutawaliwa na Marais wawili toka sehemu moja Zanzibar. Tena wote dini moja. Huyu Rais Samia akienda Loliondo haambiwi vua mitandio yako, kwani hapa si destuli au mila zetu wanawake kujifunika gubigubi. Sasa ni wakati Samia atoke huko aliko akemee huu upuuzi wazi wazi. Na vyombo vya haki za binadamu simameni mkemee huu ujinga. Hapa sitagusia dini ya Kikristo kwani lawama kubwa mnaibeba nyie. Mbona mlitoa waraka kupiga bandari yetu kuondoka na maji? Mnashindwa nini Sasa wakati wakristo wenzenu wana surubiwa huko zanzibar kisa hawajafungi? Rais Samia unataka tuandamane tupeleke barua yetu ubalozi wa Marekani ndio uchukue hatua? Please act now, before it is too late to control this nonsense.
 
Rais Mwinyi wa Zanzibar niliwahi lumuandika humu kuwa ni mdini, ni rais anayesambaza uisilamu badala ya kuongoza wananchi wote. Rais huyu kila mara hujitokeza kwenye mambo ya waisilamu hata kwenye shughuri zinazowahusu viongozi wa dini hiyo! Huyu hafai kuwa rais wa Tanzania, kinachoendelea Zanzibar kimepata baraka zake ndiyo sababu hawezi kukemea.
Sasa sehemu ina waislamu 95% unategemea shughuli nyingi atakazohudhuria zitakuwa za nani kweli kwa akili ya kawaida tu ya kuzaliwa embu acha mihemko
 
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.

Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.

Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.

Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.

Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.

Nawasilisha
Wakirisito wako Zanzibar kabla ya uhuru na hiyo sheria ya kutokula hadharani aikuanza leo kwani hiyo sheria inamlenga mkiristo
 
SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..

Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Huyu mkirito ni mbulula anadhani wakirito wameaza kuishi Zanzibar jana kumbe kabla ya uhuru walikuwepo
 
adui no 1 wa Yesu kristo ni Muhamadi

Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “I am the closest of the people to Jesus the son of Mary in this life and in the Hereafter.” It was said, “How is that, O Messenger of Allah?” The Prophet said, “The prophets are like brothers from one father with different mothers. They have one religion and there was no other prophet between us.”

Source: Ṣaḥīḥ Muslim 2365

Mtume Muhammad (Swala na Salamu Ziwe Juu Yake) hakuwa adui wa Mtume Yesu (Amani ya Allah Iwe Juu Yake) wala sio adui yake wala hatakuwa adui yake. Ni ndugu yake wa karibu katika Mitume wa Allah.

Adui namba moja wa Nabii Yesu Bin Maryam ungesema ni mayahudi ambao baadhi yenu mnajifanya ni ndugu zenu. Walimkataa na walitaka kumuua kwa adhabu ya wahalifu ya kusulubiwa msalabani lakini Mola wake akamuokoa. Na bado wanamtukana mpaka leo yeye na Mama yake ambaye alikuwa msafi mwema.

Bali nyinyi pia ni maadui zake kwa kumuita Mwana wa Mungu au Mungu, Ametakasika Allah na mnayomshirikisha nayo. Na mnakwenda kinyume na Dini aliyoifuata na kuilingania na kufuata mila za kipagani za warumi na washirikina wengine na mkatunga dini ya kishirikina iliyo mbali na Mtume wa Allah Yesu (Amani ya Allah Iwe Juu Yake).

Sisi Waislam ndio tuko karibu na Yesu na tuna haki nae zaidi kuliko nyinyi. Na kumuamini Yesu ni kuwa Muislam.
 
Dini hizi ni shida sana ujinga ujinga Mwingi sana,mtu unazaliwa unamezeshwa matakataka hasa ya ya kisiilamu yanafunga mchana usiku kufirana tu na ushoga Zanzibar wajinga sana...asee🚮🚮🚮😡😡
 
Sasa sehemu ina waislamu 95% unategemea shughuli nyingi atakazohudhuria zitakuwa za nani kweli kwa akili ya kawaida tu ya kuzaliwa embu acha mihemko
Aliyehaya maiamani ni aliweza sana hasa Kwa ngozi nyeusi Ani ubongo umefungwa na huwazi nje ya box...kama mazuzu Ani inaingiaje akilini kwanza umchape mtu kisa anakula ..oh mnasema Sheria za nchi ujinga sana...Leo Mimi nitakula hadharani Niko hapa forodhani mjinga mmoja aje Sasa tuone ... blarifuuu 🚮🚮😡
 
Unajiona ulivyo mjinga?

kama ni mwanamke basi utateseka sana kwenye ndoa
OK nakubali Ujinga wangu!
Haya niambie ilipata Uhuru Lini???
Usichanganye kati ya Mapinduzi na Uhuru nikufahamishe kwanza..
Kuna Journal imeandikwa na Prestholdt, Jeremy
Kuhusu Zenjibar Kaitafute..

Prestholdt, Jeremy
"Portuguese Conceptual Categories the 'Other' Encounter on the Swahili Coast. " Journal of Asian.American Studies, Volume 36, Issue 4, PP 390..

kipande kinasema

"The Portuguese arrived in East Africa in 1498, where they found several independent towns on the coast Called Zenjibar (Zanguebar), with Muslim Arabic-speaking elites. While the Portuguese travellers describe them as "black Muslim", they made a clear distinction between the Muslim populations"

Sometimes ni Muhimu kujifunza kupitia Vitabu Vingi vya kihistoria maana Si elimu yote itapatikana Shule....

Ni vizuri wakati mwingine kuficha ujinga ili uelimike
 
Sasa sehemu ina waislamu 95% unategemea shughuli nyingi atakazohudhuria zitakuwa za nani kweli kwa akili ya kawaida tu ya kuzaliwa embu acha mihemko
Kwahiyo wazo lake la kushauriana na rais wa Tanzania kuwa serikali itenge fungu la mfuko wa mahujaji ni sahihi!
 
Back
Top Bottom