Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Kama huku kigamboni wamejaaa wengi sanaTutawatimua wapuuzi wote wa kizanzibari walioko bara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huku kigamboni wamejaaa wengi sanaTutawatimua wapuuzi wote wa kizanzibari walioko bara
Ingekuwa ni Masai ndio inakula ingepita polepooole bila kusungumsa maana inajua rungu atashukia yeye!Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.
Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.
Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.
Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.
Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.
Nawasilisha
Mambo haya kikwete na kinana watusaidie,kuna shidaKuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.
Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.
Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.
Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.
Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.
Nawasilisha
Inasemekana Zanzibar inajua kinachofanyika ila sijui nini kitaendeleaKuuawa padri ndani ya kanisa akiendesha misa kulikofanyika Mwanakwerekwe haudhani kuwa ni tukio baya sana kwa nchi na wananchi wake?
Kuna shida Sana kujipendekeza matokeo yake tunaongozwa na Magu 2Watanganyika tuliamshe dude huku bara. Tumtimue kila mzanzibari akiwemo rais.
Kauli ya TEC undhani ina uzito gani nchi hii, ile ya DPWORLD imeshia wapi kwani. Msiwape umuhimu wasiokua nao, umuhimu wao ni huko huko Makanisani na kwa waumini wao.Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.
Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.
Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.
Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.
Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.
Nawasilisha
UmelaaniwaAma kweli mjinga ni mjinga tu
Waarabu hawakuwahi kutawala Sehemu yoyote kama Kolon Mkuu..
Dini yote duniani hayijawahi kuamrisha waumini wake wawe wahuni . Kama umekosa malezi hata imani utayikosa uwe mkristo au mwisilamu. Hamna aliezuyiliwa asile chakula kipindi cha ramadhani. ila umekatazwa kula chakula hadharani. ktk maeneo ya umma. Umekatazwa kuvya nguo fupi na kutembea nusu uchi.Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.
Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.
Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.
Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.
Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.
Nawasilisha
Wanasubiri mama yao atoe kauli ili wamuunge mkonoHao wote aliowataja siku hizi wamekuwa tawi la CCM.
Wanaimba mapambio ya mama anaupiga mwingi.!!!
Kamwe hawawezi kutoka hadharani na kukemea haki hiyo.
Tuna muungano wa mchango sana.
Enzi hizo mlikuwa utumwani sasa kuendekeza huo upuuzi maana yake nini???? Mbona mlikuwa mkitumikishwa manamba na kufanyiwa udhalilishaji ikiwemo kuhasiwa bila kupendwa na kuuzwa kama mifugo ila tumepinga huo udhalimu???SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..
Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Ila alifanyaje?Sultani hakuitawala zanzibar kama koloni
Mh.Waislam hawana Elimu Yeah ni kweli Ila wakristo hawana Elimu kabisa ila wanahisi wana elimu..
Yes Revolution but not Independence??Yes, Revolution did happened I think it was in 1964.
🤣🤣Imenoga Sana hapo kwenye kigiriki Cha kale 😊😊
Hivi wazanzibar ndo walifanya Mapinduzi eeeh 😅😅..Ikiwa ni hivyo inaleta dhana kuwa yanayoitwa mapinduzi matukufu ya Zanzibar yalikuwa kuondoa nini ili tuweze kufahamu waZanzibari waliofanya mapinduzi walikuwa na nia gani?
Kumuondoa mkoloni au kungoa utawala wa Sultani lakini waarabu wazanzibari wengine mitaani na vijijini walipoteza maisha ktk mapinduzi hayo hata kama alikuwa mwenye shughuli zake za shamba la karafuu, mfanyabishara, mvuvi n.k