DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Zanzibar ilitoka katika mikono ya Kikoloni mwaka 1800s Ambayo ailikuwa chini ya wareno Ilipopata Uhuru ikawa chini ya Utawala wa Kisultani yaani kidini....Baada ya Mapinduzi Zanzibar iliachana na Usultani na kuwa Jamhuri Republic.
Wazanzibari wamejikomboa kutoka katika Minyororo ya Utumwa wa Mkoloni lakini wameshindwa kujikomboa Kifikra Mental Slavery na hii itachukua muda na sisi Watu wa Bara tutawasaidia pole pole tu Ishaalaah
Buta for simple information On December 10, 1963, Zanzibar achieved independence as a member of the Commonwealth.Maana commonwealth walitaka nchi zijitawale zenyewe kama Republic..
Na ukumbuke ilikuwa chini ya , Sayyid Jamshid ibn Abdullah