imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
I think it means the same but Independenc Is given either by peaceful means or otherwise but Revolution is taking by force what you believe is yours.Yes Revolution but not Independence??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think it means the same but Independenc Is given either by peaceful means or otherwise but Revolution is taking by force what you believe is yours.Yes Revolution but not Independence??
Mbona Mna dini za kikristo na Kiislam na Ndo zilichangia kuleta huu Utumwa unaosema??Enzi hizo mlikuwa utumwani sasa kuendekeza huo upuuzi maana yake nini???? Mbona mlikuwa mkitumikishwa manamba na kufanyiwa udhalilishaji ikiwemo kuhasiwa bila kupendwa na kuuzwa kama mifugo ila tumepinga huo udhalimu???
Iweje leo kula iwe kosa la jinai ilhali tunajeshimu uhuru wa kidini na wote sio waislamu???
Mkuu amini nachokuambia Nimekuwa Jf kwa Muda mrefu Wakristo wengi Ni watu wa kutukana na hawawezi kutetea Hoja zao..
Not the same..I think it means the same but Independenc Is given either by peaceful means or otherwise but Revolution is taking by force what you believe is yours.
Angalau ungetumia neno hilo toka mwanzo.Mkuu amini nachokuambia Nimekuwa Jf kwa Muda mrefu Wakristo wengi Ni watu wa kutukana na hawawezi kutetea Hoja zao..
Waislamu nao ni Vile vile ila wakristo ni zaidi
je zanzibar inafuata sharia au katiba ? kama katiba je inatambua au kuwapa uhuru wa kuhukumu hao raia ? je nini kaz ya mahakama huko Zenji ?SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..
Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Safi sana Mkuu Nimependa hii na Hii ndiyo maana hasa ya elimu..Angalau ungetumia neno hilo toka mwanzo.
Ume generalize wakristo wote.
Niko Jf toka inaitwa jambo forum. Najua matusi ni tabia ya mtu sio matokeo ya imani.
Uanze Leo Leo Kwa Jirani yako WA karibu zaidi aliye mzanzibari
Wana mahakama na Hizo sheria pia Zipo mkuu na ndo maana Polisi wamekamata wanaokula mchana na Wanafikishwa mahakamani na pia ..je zanzibar inafuata sharia au katiba ? kama katiba je inatambua au kuwapa uhuru wa kuhukumu hao raia ? je nini kaz ya mahakama huko Zenji ?
Tukienda hv itafika siku na huku bara tutakuwa na taratibu zetu wakristu , je mtakaa kimyaa ?
Waislam wana kaujinga fulani hv huwa hawafikirii wakifanyiwa wao kama itakuwa sw , nliona humu wakishangilia seleka kuua wakristu wenye nchi huko CAR ila baadae raia walipojiunga na kujibu mapigo bas waislam wakaanza lia lia kila kona ya dunia pia tuliona huko middle east , hata Burma etc WAISLAM MPENDE KUYATIZAMA MAMBO KTK SURA MBILI
Masultan wa Zanzibar hawakutoa Uhuru kwa Mtu Mweusi huko Visiiwani, ni Mwingereza aliwashiniikiza kukubaliana ili Usultani ubaki na kuwe na Waziri Mkuu British Style.Not the same..
Ngoja nikupe mfano..
AMERICAN get Independence on July 4, 1776...
But AMERICAN revolution Was in 1765...
So are you follow??
The bristish Revolution was 1688..
But the British got Independence from The Roman Empire in 4th century
O level kwenye civics tunasoma union and non union matters. Inaonesha tukishafanya Necta tunashau vyote.Wana mahakama na Hizo sheria pia Zipo mkuu na ndo maana Polisi wamekamata wanaokula mchana na Wanafikishwa mahakamani na pia ..
Ni wakati wa kujua sasa kwamba zanzibar Ni nchi nyingine na Muwaache maana wana utaratibu wao mpaka wakisheria....
Na pia kuna Hoteli ya Kitalii Imelisha Watalii mchana Imechezea Faini ya 500$ ambayo ni sawa na Tsh 1.2 Milion..
Hiyo inamaana hivi vitu vipo kisheria..
Unafahamu zanzibar wana katiba yao na sheria zao??
View attachment 2948237
View attachment 2948241
Unafikri POLISI HUKO.ZANZIBAR WAMECHANGANYIKIWA???
View attachment 2948242
Kisiwa chenu sio? Mbona Sasa munalalamika pole sana mtanganyikaHao wazanzibar kama wanataka huo utaratibu wafunge virago vyao waende saudi arabia huko, watukabidhi Tanzania bara kisiwa chetu.
Sasa watoe uhuru Upi na uhuru ulipatikana kutoka kwa Wareno???Masultan wa Zanzibar hawakutoa Uhuru kwa Mtu Mweusi huko Visiiwani ni Mwingereza aliwashiniikiza kukubaliana ili Usultani ubaki na kuwe na Waziri Mkuu British Style.
Waafrika wakaamua kuchukua UHURU kwa kutumia Mapinduzi.
Ni kama Mapinduzi ya HAITI na ni UHURU hapo hapo.
Safi sana Mkuu!O level kwenye civics tunasoma union and non union matters. Inaonesha tukishafanya Necta tunashau vyote.
Watanganyika wenzangu, hata pale US different states different rules.
Kama una ushahidi huo wa Mreno kutoa Uhuru hebu weka hapa tuelimike.Sasa watoe uhuru Upi na uhuru ulipatikana kutoka kwa Wareno???