TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

Hawa maustaadhi naona wanakosea sana aisee kwa hiyo wakiwa kwenye Nchi ambayo wao wapo sita harafu hiyo Nchi watu wanakula mchana hawawezi kufunga hizi mambo wanazofanya ni za kiboya sana sana unaefunga si wewe mambo ya kula ya mtu mwingine inahusiana nini na wewe....
 
inaweza ikawa sahihi au siyo sahihi sijasikia hoja yake hasa kwa kirefu
Usikie hoja gani wakati pesa husika ni kodi za watanzania wote, kwa kukazia tu ni kwamba serikali haina dini hivyo rais hatakiwi kujihusisha na mambo ya dini.
 
Upuuzi huu wanaoulea ni Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hasan. Haiwezekani watu wana pigwa mijeredi kisa Eti wanakula hadharani katika nchi yao wenyewe. Hii ni karne ya 21 na sisi Tanzania au tuseme Tanganyika kwa Ustaarabu wa karne ya 21 tumekubali kutawaliwa na Marais wawili toka sehemu moja Zanzibar. Tena wote dini moja. Huyu Rais Samia akienda Loliondo haambiwi vua mitandio yako, kwani hapa si destuli au mila zetu wanawake kujifunika gubigubi. Sasa ni wakati Samia atoke huko aliko akemee huu upuuzi wazi wazi. Na vyombo vya haki za binadamu simameni mkemee huu ujinga. Hapa sitagusia dini ya Kikristo kwani lawama kubwa mnaibeba nyie. Mbona mlitoa waraka kupiga bandari yetu kuondoka na maji? Mnashindwa nini Sasa wakati wakristo wenzenu wana surubiwa huko zanzibar kisa hawajafungi? Rais Samia unataka tuandamane tupeleke barua yetu ubalozi wa Marekani ndio uchukue hatua? Please act now, before it is too late to control this nonsense.
Wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani?
 
Usikie hoja gani wakati pesa husika ni kodi za watanzania wote, kwa kukazia tu ni kwamba serikali haina dini hivyo rais hatakiwi kujihusisha na mambo ya dini.
Kwani tunavyotoa pesa za kodi kwa ajili ya kuwapa kanisa kwenye mou huwa kodi ya wakristo peke yake?
 
Hawa maustaadhi naona wanakosea sana aisee kwa hiyo wakiwa kwenye Nchi ambayo wao wapo sita harafu hiyo Nchi watu wanakula mchana hawawezi kufunga hizi mambo wanazofanya ni za kiboya sana sana unaefunga si wewe mambo ya kula ya mtu mwingine inahusiana nini na wewe....
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
 
SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..

Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Katiba inasemaje kuhusu dini.. usijekuta unamuuliza umri wake na hujui katiba yasemaje kuhusu dini. Zanzibar sio ya kiislamu wala kikristo. Ipo neutral mzee

Kuna kitu kinaitwa bylaws haiwez overrides katiba mkuu.. hao wanaochapa watu wanatakiwa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nchi haifuati sheria, viongozi hawafuati sheria, wananchi hawafuati sheri, hiyo nchi niyawahuni kama wAhuni wengine walivyo
 
Unasahau Kuwa zanzibar wana Katiba yao??
 
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika
Sheria za kijinga hizo hao Wazanzibar wengi ni watu wa Tabora huko Nzega...
Yaani kufunga kwangu iwe kero kwa mwingine huo ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa...
 
Kwaio na watalii wazungu nao hawali kipindi hiki cha mfungo au kichapo ni kwetu tu sisi wenyeji?
 
Kwanini msielezee kwa kina zaidi kuhusu hii sheria yao ya kukamata wanaokula hadharani?
Je ni waislamu pekee kwa kutizama ID zao n.k.
Au ni katazo la kula hadharani kwa watu wote n.k
Adhabu yake ipoje?

Hili jambo msilichochee zaidi.
Mnachofanya ni kama kuonyesha wakristo wanakandamizwa na waislamu hapo Zanzibar, na matokeo yake si mazuri.
Kuna Muislamu au Mzanzibari alifanya kama wanavyofanya hao wanaotetewa akaachwa kwa sababu tu ya Uislamu wake au Uzanzibari wake?
 
Kuna mambo yanaendelea Zanzibar yanahatarisha usalama wa wakristo waishio Zanzibar. Kitendo cha mtu anayekula hadharani kipindi cha mwez wa Ramadhan kuchapwa fimbo hadharani hii ni kinyume cha utu, imani, na hata haki za binadamu.

Ukimtegemea kwamba Rais atasema neno ujue mtapigwa changa ka macho maana yeye mwenyewe ni mwenzao katika imani hvyo labda inawezekana na yeye anafurahia.

Haiwezekani mambo haya yafanyike na watu wakae kimya.

Nitoe rai kwa viongozi wa mabaraza ya dini ya kikristo kutoka hadharani na kutoa nyaraka zinazokemea jambo hili ili kuwalinda waumini wao waishio Zanzibar. Leo amechapwa mtu fimbo wakiona mko kimya kuna siku atauwawa mtu.

Simameni ongeeni na sisi waumini wenu tuko nyuma yenu katika hili. Upole wetu wenzetu wanautumia kama nafasi ya kunyanyasa na kupotisha agenda zao kuanzia serikalini.

Nawasilisha
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ina makosa sana, HAKUNA sheria yoyote inanyosema ama kukataza watu kutokula wakati wa mfungo wa Ramadhani, wanayofanya walalahoi wa kule kukamata wenzao wanaokula mchana ni makosa na serikali iko kimya kana kwamba wanaunga mkono huu ujinga. Serikali ilaumiwe kwa ujinga huu.
 
SAsa wakemee kitu kilichokuwa kikifanywa na kutungwa Tangu mwaka miaka ya 1400s..

Zanzibar si.ya wakristo tukubali hicho jama..
Sheria hizi zimekuwa zikifanywa kila mwaka hata mwaka jana, Mwaka juzi..
Una Umri gani??
Zanzibar ni Nchi ina sheria na taratibu zake kwani wamelazimishwa kuishi huko?
Si waondoke .
Ni sawa na kuwaambia Muslim wakawqtetee Muslim wa China wanaozuiwa kufunga.
Waondoke na waende kwenye Nchi ambazo watafanya ibada zao kwa uhuru kwani Ardhi sio pana.

Hivyo washaurini warudi kwao kama wanawalalamikia.
 
Back
Top Bottom