TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

Hao wazanzibar kama wanataka huo utaratibu wafunge virago vyao waende saudi arabia huko, watukabidhi Tanzania bara kisiwa chetu.
Usichokijua ni tanganyika kwa sasa ni koloni la zanzibar
 
Kuna sheria na taratibu,
Utaratibu wao ndio huo hamuwezi ondokeni na hizi kelele hazijaanza leo
Hivyo ondokeni au vumilieni
 
Kuna sheria na taratibu,
Utaratibu wao ndio huo hamuwezi ondokeni na hizi kelele hazijaanza leo
Hivyo ondokeni au vumilieni
Serikali haijakataza watu kula mchana sema kosa lao ni kule kunyamaza na kuwaachia vibaka kupiga watu kiholela, kama ingekuwa anayepigwa naye anawageuzia kibao vibaka lazima serikali ingeingilia kati na kumshitaki huyo anayepigwa kuwageuzia vibao vibaka. Serikali ina makosa hapa.
 
Hakuna mtu aliekatazwa kula kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…