wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Ushamba mzigo sana. Dunia ipi mnaiongelea? TEC ipi ina nguvu duniani?Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.
Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?
Au ni bomu limetegwa?
Wewe MuislamUshamba mzigo sana. Dunia ipi mnaiongelea? TEC ipi ina nguvu duniani?
Ndo mana tukiwaambiaga mtokege huko kwenye kuchunga ng'ombe mnatuona tunawadharau.
Tafuteni exposure.
Umenipa wewe huo uislamu?Wewe Muislam
Haujawahi kuwa na akili wewe ,unapoizungumzia TEC tambua unaizungumzia roma Catholic worldwide.Ushamba mzigo sana. Dunia ipi mnaiongelea? TEC ipi ina nguvu duniani?
Ndo mana tukiwaambiaga mtokege huko kwenye kuchunga ng'ombe mnatuona tunawadharau.
Tafuteni exposure.
Wana nguvu duniani wapi?Haujawahi kuwa na akili wewe ,unapoizungumzia TEC tambua unaizungumzia roma Catholic worldwide.
Unatikawa kutambua kuwa Catholic ndio inatawala dunia.
Endelea kukaza ubongo wako wakat9 mama yako hapati usingizi
Wacha tuone wao hao Tec na Dp world ni nani mwenye nguvuKwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.
Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?
Au ni bomu limetegwa?
Wakurupuke wasikurupuke hiyo Bandari ndio hivo tena tayari imeendaRC huwa hawakurupuki
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeendaNingekuwa mimi ndo Rais ningefanya kujiudhuru ili kudumisha umoja na mshikamano kwa Taifa, maana Tanzania ni kubwa kuliko mtu au kikundi cha watu