Watanzania (waislamu,kwa wakristo,wapagani) shitukeni Tanzania hakuna udini,Bali udini unaotangazwa ni mpango unaoratibiwa na kitengo Cha propaganda Cha CCM ili kutugawa kwa kigezo Cha Dini na wao ili wapite Kati Kati kututawala,kumbuka mwaka 2024 na 2025 ni miaka ya uchaguzi,kwa hiyo let's waliyoanza nayo ccm ni kete ya udini dhidi ya suala hili la bandari,kuanza kutugawa kidini ili iwarahisishie wao kutudhoofisha,wakati adui yetu ni DP world ,mpaka Sasa huwezi kusikia kiongozi wa CCM au serikali anakemea udini ,shtuka mtanzania,shtuka hao unaowaona Mara masheikh na wachungaji wanawaponda viongozi wenzao wa Dini hao ni mapandikizi ya mwendelezo na utekelezaji wa propaganda yenyewe inayosukwa na ccm