The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Wewe kwa hiyo sasa si ntageuka mkatoliki yaani bado mara 5 .anyway ntaendaBaada ya wiki sita ya kusmwa kwa waraka makanisani, Watanzania wengi watakuwa na uelewa mpana sana.
CCM itarajie ugumu kwenye kampeni zijazo. Kuendelea kuwabeza TEC hakusaidii kuzuia anguko