Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Hao wana ushawish in person..hawna taasisi zenye nguvuNdivyo ulivyodanganywa kwenye kigango chako?
TEC wakusanyike pale Mwembe Yanga,halafu Mwamposa Mmoja awe Tamlnganyika Packers
Hata wakatoliki wataenda kwa Mwamposa.
Hapo sijamtaja Mwingila,sijamtaja Lusekelo,Sijawataja wachungajinwengine.
Halafu unakuja hapa na njaa zako kwamba TEC wana nguvu.
ASANTE SANAAttached
Hiyo ilikuwa zamani!na hiyo mindset ndio inazidi kuporomoa kanisa katoliki kwa waumini kutimkia madhehebu mengine ya kina Mwamposa.kwa mfano hili la bandari ,waraka umefeli kabla hata haujasomwa! Kwakuwa walijiona Supreme kuwa wakifanya wenyewe watavuruga nchi na madhehebu mengine yatawassuport,but all failed completely.nishauri kanisa lijikite katika kujenga imani kwa waumini, hii imekuwa test kubwa ya kuassess supremacy ya kanisa katoliki , waache serikali iendelee na mipango yake ya kuongeza uchumi,ambapo uchumi unapokuwa na kanisa hilo hilo linategemes hayo mapato yarudi kwa wananchi/waumini yakaendeleze makanisa.ni kama unakata mkono unaokulisha.Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.
Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?
Au ni bomu limetegwa?
ile kauli yake ya 'nimenyamaza na nitaendelea kunyamaza' ni ya hovyo sana.Huyu mama anafanya maamuzi makubwa akijua fika hakuchaguliwa kwenye nafasi hiyo kwa kura za wananchi, yaani ni rais wa ngekewa.
Baada ya kuona reaction ya wananchi na makundi mbalimbali ya kijamii bado ameendelea kukaza fuvu.
Nchi za wenzetu kiongozi akipata upinzani mkubwa wa kisiasa kuhusu kutekeleza jambo fulani anaitisha uchaguzi wa mapema kutafuta kuungwa mkono, huyu naona kaamua kutafuta uungwaji mkono wa dini yake....yetu macho na masikio.
Wewe unawaza ngono wao wamewekeza kwenye future!Wakioa tu akili zitawarudia.
Mlipoua watu kule Rwanda mlikuwa mnaandaa future gani! Mlipoua wakristo mahali kadhaa duniani (rejea radhi iliyoombwa na Papa) mlikuwa mnaandaa future gani. Tulia dawa ikuingie vizuri, msituletee shida kwenye nchi yetu. Nendeni mkagawe komunio kazi ya kuongoza nchi iachieni serikali. Ngono!!! Narudia oeni akili ziwarudie maana ndio mnaoongoza kwa kutuletea watoto wa mitaani.Wewe unawaza ngono wao wamewekeza kwenye future!
Hiyo ngono ikisha kufyatua ndio utaujua msaada wao kukuandalia njia nyembamba!
Kwa sasa endelea na ujinga wako kwa muda na nguvu zako.
Time will tell....
Sasa hivi unajibu kwa nidhamu sana,Hata Slaa leo kaongea kwa heshima, kama wale wa jana.
Wameufyata.
na ndio maana mpaka ina ma ambassadors nchi nyingi tu, kwa Africa mashariki Kama sijakosea ubaloz wao upo Kenya.Vatican inatawala dunia na ni zaidi ya taasisi ya kidini, na ustawi wa jamii inaangazia pia usalama, uhuru wa kuabudu, siasa ,demokrasia ujasusi kinga, sheria biashara utamaduni nkknk
Ukweli mchungu sasa utafananisha TEC na bakwata wanaoomba serikali iwasaidie kununua kichungulia mwezi😁Ushamba mzigo sana. Dunia ipi mnaiongelea? TEC ipi ina nguvu duniani?
Ndo mana tukiwaambiaga mtokege huko kwenye kuchunga ng'ombe mnatuona tunawadharau.
Tafuteni exposure.
Kiswahili Cha wanzanzibar hiki "Mustahimili" [emoji777] Mstahimili[emoji3514]Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda