Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kanisa limeshachukua hatua ya kumsimamisha maana halihusiki na uovu wake. Hatua nyingine za uovu wake ziko mikononi mwa jamuhuri. Kanisa lingekaa kimya kama serekali ilivyomkalia kimya Bashe kutokana na ushahidi wa Mpina, hapo ungesema kanisa linalinda uovu.kanisa katoliki limechafuliwa sana na hili la paroko kutuhumiwa mauwaji ya mtoto albino
wanaonekana kama kuna mambo mengi ndani yao hayako sawa