Kanisa limeshachukua hatua ya kumsimamisha maana halihusiki na uovu wake. Hatua nyingine za uovu wake ziko mikononi mwa jamuhuri. Kanisa lingekaa kimya kama serekali ilivyomkalia kimya Bashe kutokana na ushahidi wa Mpina, hapo ungesema kanisa linalinda uovu.kanisa katoliki limechafuliwa sana na hili la paroko kutuhumiwa mauwaji ya mtoto albino
wanaonekana kama kuna mambo mengi ndani yao hayako sawa
Sahihi kabisaKanisa limeshachukua hatua ya kumsimasha maana halihusiki na uovu wake. Hatua nyingine za uovu wake ziko mikononi mwa jamuhuri. Kanisa lingekaa kimya kama serekali ilivyomkalia kimya Bashe kutokana na ushahidi wa Mpina, hapo ungesema kanisa linalonda uovu.
Sura ya mtu iliyochongwa Kwa udongo au miti ya mzungu huitwa sanamu ya mwafrika huitwa kinyagoDini ya Wazungu ililetwa na wakoloni ili kututawala! eti maehemu RC anaitwa Mtakatifu ila sis Waafrika babu zetu wanitwa Mizimu! Ni upumbavu tu kwa sis Waafrika kutojitambua! Wahaindi, Wajapani, wachina hata Waisraeli hawana hii mambo!
itoshe kusema hili imewaongezea doaKanisa limeshachukua hatua ya kumsimamisha maana halihusiki na uovu wake. Hatua nyingine za uovu wake ziko mikononi mwa jamuhuri. Kanisa lingekaa kimya kama serekali ilivyomkalia kimya Bashe kutokana na ushahidi wa Mpina, hapo ungesema kanisa linalonda uovu.
Hakuna la ajabu hapo maana makasisi sio malaika, bali ni wanadamu, hivyo kukengeuka kwa baadhi yao inawezekana. Cha muhimu ni taasisi kuchukua hatua stahiki dhidi ya mtumishi wake muovu.itoshe kusema hili imewaongezea doa
Nakubaliana na wewe 100%βHakuna la ajabu hapo maana makasisi sio malaika, bali ni wanadamu, hivyo kukengeuka kwa baadhi yao inawezekana. Cha muhimu ni taasisi kuchukua hatua stahiki dhidi ya mtumishi wake muovu.
Ya kuua albino na mapadre wachawi. Mana ndani ya katoliki kuna mapadre wachawi wengi wanaousaka uaskofu kwa ndumbaMajipu yepi?
ni ajabu kwa mpakwa mafuta kukengeuka hili swala si la kuchukuliwa jujuHakuna la ajabu hapo maana makasisi sio malaika, bali ni wanadamu, hivyo kukengeuka kwa baadhi yao inawezekana. Cha muhimu ni taasisi kuchukua hatua stahiki dhidi ya mtumishi wake muovu.
Hujui unachokiongea wewe! kwa taarifa yako kanisa katoliki halijawahi kuwa na tofauti 'kubwa' na SERIKALI ama CCM tangia tupate uhuru, ukisikia 'tofauti' basi ni za kawaida tu, na huwa zinamalizwa fasta! kwa hivyo ukisikia pongezi elewa MAMA anajuwa anachikifanya ' The two are true partners' wewe kama ni muumini wa katoliki nenda kapate huduma ya kiroho urudi nyumbani kwako!Mama Abdul anadhani Kuna unafuu kwake kuchaguliw raisi mpya wa tech
Utasikia Abdul alitenda kumpongeza na zawadi
Mambo bado magumu huko tuendako
Yapo Mkuu Ila Taratibu SasaMajipu yepi?
Daah, Nadhani Mungu atakujibu vile unastahiliTangu lini katoliki ilikuwa safi. Huduma na makanisa yote ni vichaka vya maovu kwa miaka mingi.
1. Ufiraji na unajisi ndani ya katoliki ni suala sugu.
2. Migogoro ya kugomabania madaraka na fedha ndani ya KKKT ni suala sugu.
3. Migawanyiko inayosababishwa na fedha ndani ya Pentecostal churches inayopelekea kuibuka kwa huduma za mtu mmoja mmoja (ministries) ni suala sugu.
4. Biashara ya madawa ya kulevya na ulozi ndani ya ministries ni suala sugu
Dini ya Wazungu ililetwa na wakoloni ili kututawala! eti maehemu RC anaitwa Mtakatifu ila sis Waafrika babu zetu wanitwa Mizimu! Ni upumbavu tu kwa sis Waafrika kutojitambua! Wahaindi, Wajapani, wachina hata
hapo vipi ππππ½Dini ya Wazungu ililetwa na wakoloni ili kututawala! eti maehemu RC anaitwa Mtakatifu ila sis Waafrika babu zetu wanitwa Mizimu! Ni upumbavu tu kwa sis Waafrika kutojitambua! Wahaindi, Wajapani, wachina hata Waisraeli hawana hii mambo!
Naona CHADEMA mmeongezewa nguvu
Comeon wabongo. Tumieni akili zenu vizuri japo elimu yetu ni duni! Kuna waraka mkubwa kuliko kumsimamisha utume?Wametoa waraka kulaani mauaji ya mtakatifu Asimwe yaliyoratibiwa na kasisi wao Padre Elpidius ?
Utashangazwa kama huna uelewa wa neno la Mungu.kanisa katoliki limechafuliwa sana na hili la paroko kutuhumiwa mauwaji ya mtoto albino
wanaonekana kama kuna mambo mengi ndani yao hayako sawa