Kama katoli Ikisimama imara bas serekali hiz dhalimu itachutama na jeuri itakwisha
Mnaweza kupeleka waraka kote kanisa I waeleze waahumini wenu kuwa msishiriki ktk chaguzi zenye dhuluma na uonevu nakuakikishieni kwa idadi yenu lzm serekali ije kwa upole San kuzungumza na wapinzani
Tec mnaweza mnaweza sna . Ujumbe ufike kila jumui kila kigango na parokia zote
Ingawa huwa mnaangalia aliepo ni ni mtec ila vyovyote hvyo itasadiaaa sana na ccm lzm watawaheshimu tu