THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti kuhalalisha na kusema yale yalikuwa ni maandamano ya amani,hongera sana serikali.
Baada ya kuwapongeza ningependa kuchukua nafasi hii kuwafahamisha TEC,TEC kwa kupitia katibu mkuu wao kama kawaidia wamekuja tena leo kuongea kauli zao za chuki na uchonganishi dhidi ya serikali eti kwa kuitaka serikali itoke iwajibu wao na kukiri kuhusika na mauaji ya raia wema waliondamana kwa amani tarehe 29.
Hivi hawa TEC wana akili timamu kweli??au wameamua kujitoa ufaham ni kujivika wendawazimu?mtu mwenye utimamu wa akili anawezaje kusimama na kusema kuwa zile vurugu zilikua ni maandamano?
Isitoshe TEC wanakuja kuipa amri serikali itoke ije kukiri ni nani waliua watu wasio na hatia kwanini pia wasihoji kuhusu kuwepo kwa askari polisi wazalendo waliouliwa na hao wafanya vurugu?kwani hao askari nao siyo watu?na kwanini TEC inakwepa kuzungumzia rootcause ya mauaji yale na kukimbilia kwenye matokeo??walikuwa wanataka nchi iachwe ikichomwa kwa kuhofia kuwakabili hao wahuni??
Sasa TEC wakae wakitambua kuwa sehemu nyingi duniani wachochezi wakubwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ni wao,tuna mfano hai wa mauaji ya Rwanda na namna kanisa katoliki lilivyoshiriki katika umwagaji ule wa damu.
TEC wakae wakitambua kuwa wao siyo lolote siyo chochote nchi hii,wakitaka wajue hilo zile siku ambazo nchi hii iliwekwa lockdown hatukiskia fyoko fyoko wote walitii amri na hakuna ibada zozote ziliendelea kwa yeyote,hicho ni kipimo kwamba hawana uwezo wa kuipa amri serikali zama hizo zimeshapita??
TEC hamna nguvu hiyo ambayo mnadhani mnayo ya kuweza kusimama na kuita press na kuitisha serikali,serikali hii ni yetu sisi wananchi kazi yenu kuu ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri dini na siyo kuja kuipa maagizo na kuitisha serikali.
Hongera sana serikali kwa kuendelea kuipuuza TEC ..vurugu zile lengo lake zilikua ni kuharibu uchaguzi na kuipindua serikali halali madarakani,kuonekana kwao TEC wanasupport vurugu zile ni kiashiria kingine kuwa huenda wana ajenda ya siri na amani ya nchi hii.