PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wana illusions za ajabu ajabu na wamejipa jukumu na ukubwa mno hawa watu, sijui nani aliwadanganya na wakajiona wao ni dola pia, matamko yao ni chuki na kuchochea tu vurugu, hawa si bure kuna namna wananufaika/watanufaika na mgogoro au mpasuko huu ukiendelea na kuna kuchungulia fursa wameona, na hata hawapo kiroho hawa ni tu shetani fulani tunapandikiza chuki kwenye jamii
 
Lifungieni kanisa katoliki.......sio kubweka tu.
Lissu alivyopigwa risasi hadharani na Ally kibao alitekwa na kuuwawa hamtaki watu waongee?
 
Umeandíka uharo.

Tulieni Sindano iingie

Nje mnapigwa, Ndani Mnapigwa.


Tumeanza kuwatafuta Mmoja baada ya mwingine.

Dec 9 Maandamano.


Kumanyoko zenu, HAMTAKAA TENA mpate Ile AMANI mloizoea.
 

Umeandika mambo mengi lakini kwa taarifa yako tu, wewe hujui maana ya neno" AMANI"

Samia ameua vijana wetu na kuwazika anakojua yeye, sasa hiyo ndio Amani? Matokeo ya kuendelea kushupaza shingo ndio kutafanya nchi isitawalike. Ni lazima msikilize wananchi wanasema nini ili muweze kupunguza HOFU mliyonayo na iliyotanda nchini. Short of that nchi itashindwa kulinda nchi na mali zake.
Samia hana uchungu na nchi hii kwasababu ana uraia wa OMAN na huko ndiko anakoficha mali anazotuibia.
 
Waliofanya fujo na kuchoma.mali za watu wale walikuwa wahalifu msijitoe ufaham,hakuna maandamano yanayofanyika kwa style...

Na kuyaunga mkono kama wanavyofanya hawa wavaa magauni wa TEC ni kuhalalisha wahuni kuichezea nchi yetu.
Sio wahalifu ni waandamanaji waliokuwa na hasira na maovu ya CCM na serikali yake na mimi nawaelewa kwa sababu nchi yao imechezewa sana siku nyingi.sasa hivi wanahasira zaidi namna pekee ya kutuliza hasira ni wauaji kina Samia,Kikwete na wenzake na wenyewe wauawe.
 
Utekaji na mauaji hayakubariki....
Endeleeni kuwa pamoja na BAKWATA ambao hawawezi kuthubu kuongelea aina yoyote ya uovu katika nchi hii
 
KANISA KATOLIKI NDIYO VINARA HATA WA MAUJI YA KIMBARI RWANDA,KANISA HALINA NAFASI TENA NDANI YA TAIFA HILI...HATUONI KANISA LIKILETA FUJO KENYA,UGANDA,MALAWI NA NCHI ZINGNE NYINGI ZA AFRIKA WHY WANALETA ***** ***** HAPA TANZANIA?
Vipi BAKWATA hawaleti ***** *****?
Utekaji, mauaji na tume feki ya uchaguzi havikubaliki!
 
Kumbe hawa waliokuwa na nguo nyeusi na kofia ni TEC ??

Unaweza kutueleza hao wenye kofia nyeusi Kitima na Wolfgang Pisa ni wapi wakiwakilisha kitengo cha kupiga watu risasi kutoka TEC?

TEC Walikua wanamimina risasi mitaani kama wendawazimu ?

TEC wakiwa na AK-47 walikua wanakufuata na kukuuliza wewe ni dini gani halafu wanachagua idadi ya risasi za kukupiga kulingana na jibu lako?

Hakika unadhalilisha jina la Paul Donald Wight II [ THE BIG SHOW]

Kuanzia leo nitakua nakuita THE BIG FOOL.

Your browser is not able to display this video.
 
Na bado mwaka huu mpaka mjambe
 
Walioua raia wawajibike au wawajibishwe!
 
huyu mama mjamzito aliandama wapi nyie wauwaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…