PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hao ndiyo wamekufanya leo una jeuri ya kutype uozo wako hivi sasa

We si ulikua unashangilia hii nchi wakati inachomwa moto?
 
Hata wewe kama mwananchi una mamlaka ya kuitaka serikali ikiri jambo fulani, usindanganye watu wewe.
 
Endeleeni kuzoa zoa picha na kuweka mitandaoni jazaneni ujinga mje tena road
ohh! Bravo bravo! Binadamu mwenzio amekatiliwa uhai wake halafu wewe unaita ujinga? Lilaaniwe tumbo lililote kiumbe useless kama wewe kwenye dunia yetu nzuri.
 
Unaumia ukiwa pande zipi? Sikiliza tena mazungumzo ya father kitima, akili itakaa sawa tu
 
You need to say why they have no authority,if i understand you according to you it was a big show if not of force is of wealthy!
 
Serekali ni ile halali, weka ushahidi wa wapi zimetokea kura 31m, kama mliamini mnaweza kuchezea box la kura na wananchi wakaendelea kunyamaza, basi hatima yake imefika.
 
Ndio maana viongoz wa ccmu wanadharau raia wake , kumbe sample zao ndo watu kama huyu

Kwa akil zao Viongoz wa TEC ni raia wa Kigeni ? sio watanzania?

Na kwa akil zako Serikali ni Samuya , mr.Guys , Abdul , Murilo na Mafwele ?

Ujing wa baadhi ya watz ndo mtaji wa hawa wauaji
 
Hao ndiyo wamekufanya leo una jeuri ya kutype uozo wako hivi sasa
Wapi hao elezea?

Nimekuuliza hapo swali TEC ndio waliokuwa wamevaa nguo na kofia nyeusi wanapiga watu risasi mitaani?
We si ulikua unashangilia hii nchi wakati inachomwa moto?
Onyesha ushahidi niliposherekea kuona nchi inachomwa THE BIG FOOL..
 
hatuna muda wa kusoma maelezo mengi yasiyo na kichwa wala miguu
 
Ewe maamuma kutoka huko mtwara fahamu kuwa tumepoteza zetu kuoitia Samia na polisi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…