PostGE2025 TEC Na Kanisa Katoliki tambueni kuwa hamna mamlaka ya kuitaka Serikali ikiri chochote kwenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwani kura hutoka wapi?
Kwenye uchaguzi huru na haki. Huo haukuwepo 29 october. Na kwa uhuni ule ni lazima uwajibikaji uwepo. Tunataka chama chochote kikiwaza kupora uchaguzi nchi hii kijiulize mara 2 mbili. Hizo porojo sijui vita vya kiuchumi, kawalisheni wanaosubiri habari kwenye magazeti, redio na TV.
 
KANISA KATOLIKI NDIYO VINARA HATA WA MAUJI YA KIMBARI RWANDA,KANISA HALINA NAFASI TENA NDANI YA TAIFA HILI...HATUONI KANISA LIKILETA FUJO KENYA,UGANDA,MALAWI NA NCHI ZINGNE NYINGI ZA AFRIKA WHY WANALETA ***** ***** HAPA TANZANIA?
UNAWAKATAZA WAO KUSEMA NA KUAMURU, HALAFU WEWE UNASEMA NA KUAMURU.
Kanisa Katoliki tunawajua: Tunajua na mchango wao katika maendeleo ya watu, kimwili na kiroho.JE WEWE NI NANI KATIKA TAIFA HILI, MPANGA UPANGIE WATU VYA KUSEMA???
 
Kura hutoka wapi?
 
KANISA KATOLIKI NDIYO VINARA HATA WA MAUJI YA KIMBARI RWANDA,KANISA HALINA NAFASI TENA NDANI YA TAIFA HILI...HATUONI KANISA LIKILETA FUJO KENYA,UGANDA,MALAWI NA NCHI ZINGNE NYINGI ZA AFRIKA WHY WANALETA ***** ***** HAPA TANZANIA?
TEC ndo walikua wanateka watu? TEC ndo walikua wanaua watu? TEC ndo walikua wanajaza kura feki kwenye masanduku ya kura? We fala kweli, ujinga mfanye nyie, kuua muue nyie, af Lawama mlipe kanisa? Rubbish kabisa
 
Waliofanya fujo na kuchoma.mali za watu wale walikuwa wahalifu msijitoe ufaham,hakuna maandamano yanayofanyika kwa style...

Na kuyaunga mkono kama wanavyofanya hawa wavaa magauni wa TEC ni kuhalalisha wahuni kuichezea nchi yetu.

So wahalifu wanapigwa risasi? Ondoa tope kichwani chijana
 
Kanisa Katoliki na TEC kama wakiwa miongoni sehemu ya wananchi wa Tanzania, wanayo mamlaka ya kuitaka serikali ikiri chochote, labda kama hiyo serikali haijawekwa madarakani na wananchi wa Tanzania.

Mwananchi yeyote yule anayo mamlaka ya kuitaka serikali yake ifanye lolote kwa maslahi mazuri ya taifa lake.


​
 
Waliofanya fujo na kuchoma.mali za watu wale walikuwa wahalifu msijitoe ufaham,hakuna maandamano yanayofanyika kwa style...

Na kuyaunga mkono kama wanavyofanya hawa wavaa magauni wa TEC ni kuhalalisha wahuni kuichezea nchi yetu.
Wahalifu huwa wanadhibitiwa kwa kupigwa risasi za vichwa? Kwa nini wasingekamatwa na kupelekwa mahakamani? Waliofatwa nyumbani kwao na kupigwa risasi walifanya uhalifu gani? Kenge kweli wewe
 
Kwani wao ndo waliwatuma mteke watu?
 
Madam prezoo samia nia ya TEC ni kukufanya ushindwe kuongoza nchi kwa sababu ya chuki zao za udini...

Piga kazi mama na wananchi wazalendo tupo pamoja na wewe
Hakuna mwananchi mzalendo yuko pamoja na huyo mnywa damu za watu
 
Ila wewe kututikisia macalio yako hadharani unaona ni sawa kabisa!
 
Lifungieni kanisa katoliki.......sio kubweka tu.

Wanatoa huduma za hospitali, shule, vyuo, chakula, makazi, kiroho.

Wanawaomba watu wao wawe wavumilivu. Busara ingekuwa kuwasikiliza. Nimeona Mwigulu Nchemba amefanya hivyo. Hivyo anaujua ukweli.
 
Hebu tuliza jazba kwa muda halafu unijibu kistaarabu!
Kitima amekosea Nini Leo?
Kuna kitu kaongea kimeigusa Imani yako?
Yeye kama raia hana haki ya kutoa maoni?
 
Utajua we tahira wale vijana mliokuwa mnawadanganya sasa hivi wamezeeka kwahiyo damu changa ndo zinazofanya kazi
 
TEC WAAMBIENI KUWA ZAMA ZAO ZIMEISHA NCHI HII
Unalijua Kanisa Moja Takatifu Katoliki la mitume wewe?
Kwamba enzi zake zimeisha?
Zinaishaje?
Nani anazimaliza?
Huyu mwenye D moja?
Umefuatilia ziara ya Papa Leo Uturuki na Lebanon?
Unadanganywa sana mtu wangu!
 

serikali yenyewe fake!!!
 
na yule shekhe ubwabwa wenu aliesema atachinja watu alikuwa anahubiri amani
au kwa upande wenu kuuwa wasio muamini huyo mtume wenu mohamedi ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…