Nacho jua kina TEC /Kitime ni mabingwa wa kuleta mtafaruku na hili si suala la leo ni la miaka sema kwa sasa wanataka kutumia hili lililotokea kama fursa na ku sukuma agendas zao na mostly za kuwanufaisha wao zaidi kuliko jamii nzima ya wa Tanzania (usishtushwe na neno lao pendwa ‘haki’ hao wakisema neno haki jua kuna namna wamebanwa kwa mambo yao ya gizani huko ndo wana namna yao ya kutafsiri neno haki ni neno lao kwa kutaka huruma na ku fanya jamii iwe upande wao lkn hasa ni maslahi na agendas zao tu)na yule shekhe ubwabwa wenu aliesema atachinja watu alikuwa anahubiri amani
au kwa upande wenu kuuwa wasio muamini huyo mtume wenu mohamedi ni sawa?
Hata sijamsikiliza mkuu ila nimeandika kulingana na mtoa mada kwa hicho kipande alichokileta hapa ndo nimepita hapo na kiukweli sijaweka jazba kama wachangiaji wengine tena wanatoa mpaka matusi ya nguoni kabisa mkuu wanguHebu tuliza jazba kwa muda halafu unijibu kistaarabu!
Kitima amekosea Nini Leo?
Kuna kitu kaongea kimeigusa Imani yako?
Yeye kama raia hana haki ya kutoa maoni?
Unazo busara ukiwa kimyaFriends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti kuhalalisha na kusema yale yalikuwa ni maandamano ya amani,hongera sana serikali.
Baada ya kuwapongeza ningependa kuchukua nafasi hii kuwafahamisha TEC,TEC kwa kupitia katibu mkuu wao kama kawaidia wamekuja tena leo kuongea kauli zao za chuki na uchonganishi dhidi ya serikali eti kwa kuitaka serikali itoke iwajibu wao na kukiri kuhusika na mauaji ya raia wema waliondamana kwa amani tarehe 29.
Hivi hawa TEC wana akili timamu kweli??au wameamua kujitoa ufaham ni kujivika wendawazimu?mtu mwenye utimamu wa akili anawezaje kusimama na kusema kuwa zile vurugu zilikua ni maandamano?
Isitoshe TEC wanakuja kuipa amri serikali itoke ije kukiri ni nani waliua watu wasio na hatia kwanini pia wasihoji kuhusu kuwepo kwa askari polisi wazalendo waliouliwa na hao wafanya vurugu?kwani hao askari nao siyo watu?na kwanini TEC inakwepa kuzungumzia rootcause ya mauaji yale na kukimbilia kwenye matokeo??walikuwa wanataka nchi iachwe ikichomwa kwa kuhofia kuwakabili hao wahuni??
Sasa TEC wakae wakitambua kuwa sehemu nyingi duniani wachochezi wakubwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ni wao,tuna mfano hai wa mauaji ya Rwanda na namna kanisa katoliki lilivyoshiriki katika umwagaji ule wa damu.
TEC wakae wakitambua kuwa wao siyo lolote siyo chochote nchi hii,wakitaka wajue hilo zile siku ambazo nchi hii iliwekwa lockdown hatukiskia fyoko fyoko wote walitii amri na hakuna ibada zozote ziliendelea kwa yeyote,hicho ni kipimo kwamba hawana uwezo wa kuipa amri serikali zama hizo zimeshapita??
TEC hamna nguvu hiyo ambayo mnadhani mnayo ya kuweza kusimama na kuita press na kuitisha serikali,serikali hii ni yetu sisi wananchi kazi yenu kuu ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri dini na siyo kuja kuipa maagizo na kuitisha serikali.
Hongera sana serikali kwa kuendelea kuipuuza TEC ..vurugu zile lengo lake zilikua ni kuharibu uchaguzi na kuipindua serikali halali madarakani,kuonekana kwao TEC wanasupport vurugu zile ni kiashiria kingine kuwa huenda wana ajenda ya siri na amani ya nchi hii.
na yule shekhe ubwabwa wenu aliesema atachinja watu alikuwa anahubiri amaniNacho jua kina TEC /Kitime ni mabingwa wa kuleta mtafaruku na hili si suala la leo ni la miaka sema kwa sasa wanataka kutumia hili lililotokea kama fursa na ku sukuma agendas zao na mostly za kuwanufaisha wao zaidi kuliko jamii nzima ya wa Tanzania (usishtushwe na neno lao pendwa ‘haki’ hao wakisema neno haki jua kuna namna wamebanwa kwa mambo yao ya gizani huko ndo wana namna yao ya kutafsiri neno haki ni neno lao kwa kutaka huruma na ku fanya jamii iwe upande wao lkn hasa ni maslahi na agendas zao tu)
Na hao kina sheikh ni jazba zake/zao tu japokuwa kuna points zake kama MOU ya kanisa RC na serikali na suala fikirishi kama kweli lipo la bandari na DP world
Pia jua kabla ya 29 mambo ya kuongelea udini hayakuwa makubwa sana , ila baada ya huyu mama kutoa hotuba bungeni na waraka wa TEC siku inayofuata ndo hasa hisia ziliibuka zaidi na unajua kwanini ni kwa sababu baraza kubwa na lina waumini wengi na lenye heshima kuja na waraka/maneno ya kugawa na kuchochea kuliko kuponya na ndo hapo wakazuka wengine kuwapinga hao kina sheikh ( sisiemi kwamba hao kina sheik wapo sahihi ila ni matokeo ya waraka ulioonyesha mgawanyiko zaidi kuliko upatanisho)
Friends and Our Enemies,
Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali yetu tukufu chini ya amiri jeshi wetu MKuu Daktari Samia Suluhu Hassan kwa kusimam imara katika kuilinda amani ya nchi hii dhidi ya wachochezi na wafanya vurugu wa tareh 29.10.2025 na wengine wote ambao wanasimama eti kuhalalisha na kusema yale yalikuwa ni maandamano ya amani,hongera sana serikali.
Baada ya kuwapongeza ningependa kuchukua nafasi hii kuwafahamisha TEC,TEC kwa kupitia katibu mkuu wao kama kawaidia wamekuja tena leo kuongea kauli zao za chuki na uchonganishi dhidi ya serikali eti kwa kuitaka serikali itoke iwajibu wao na kukiri kuhusika na mauaji ya raia wema waliondamana kwa amani tarehe 29.
Hivi hawa TEC wana akili timamu kweli??au wameamua kujitoa ufaham ni kujivika wendawazimu?mtu mwenye utimamu wa akili anawezaje kusimama na kusema kuwa zile vurugu zilikua ni maandamano?
Isitoshe TEC wanakuja kuipa amri serikali itoke ije kukiri ni nani waliua watu wasio na hatia kwanini pia wasihoji kuhusu kuwepo kwa askari polisi wazalendo waliouliwa na hao wafanya vurugu?kwani hao askari nao siyo watu?na kwanini TEC inakwepa kuzungumzia rootcause ya mauaji yale na kukimbilia kwenye matokeo??walikuwa wanataka nchi iachwe ikichomwa kwa kuhofia kuwakabili hao wahuni??
Sasa TEC wakae wakitambua kuwa sehemu nyingi duniani wachochezi wakubwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ni wao,tuna mfano hai wa mauaji ya Rwanda na namna kanisa katoliki lilivyoshiriki katika umwagaji ule wa damu.
TEC wakae wakitambua kuwa wao siyo lolote siyo chochote nchi hii,wakitaka wajue hilo zile siku ambazo nchi hii iliwekwa lockdown hatukiskia fyoko fyoko wote walitii amri na hakuna ibada zozote ziliendelea kwa yeyote,hicho ni kipimo kwamba hawana uwezo wa kuipa amri serikali zama hizo zimeshapita??
TEC hamna nguvu hiyo ambayo mnadhani mnayo ya kuweza kusimama na kuita press na kuitisha serikali,serikali hii ni yetu sisi wananchi kazi yenu kuu ni kuchunga kondoo wenu na kuhubiri dini na siyo kuja kuipa maagizo na kuitisha serikali.
Hongera sana serikali kwa kuendelea kuipuuza TEC ..vurugu zile lengo lake zilikua ni kuharibu uchaguzi na kuipindua serikali halali madarakani,kuonekana kwao TEC wanasupport vurugu zile ni kiashiria kingine kuwa huenda wana ajenda ya siri na amani ya nchi hii.
Sio sawa na haikubaliki lkn yeye ni matokeo na sio chanzo na wote tunajua alikuwa anajibu waraka wa TEC na kwa mtizamo wake huo waraka ulikuwa unachochea tatizo badala ya kuja na njia ya kuleta utengamano na amani, yeye ni matokeo na sio chanzo, nafikiri hata wewe ungekuwa mkweli bila upendeleo unge questions baadhi ya vifungu ktk waraka, je vinajenga au vinazidisha mgawanyiko kwa sasa?na yule shekhe ubwabwa wenu aliesema atachinja watu alikuwa anahubiri amani
au kwa upande wenu kuuwa wasio muamini huyo mtume wenu mohamedi ni sawa?
Unaweza kutuwekea huo waraka tuweze ku question hivyo vifungu vyenye kuleta huo mgawanyiko?Sio sawa na haikubaliki lkn yeye ni matokeo na sio chanzo na wote tunajua alikuwa anajibu waraka wa TEC na kwa mtizamo wake huo waraka ulikuwa unachochea tatizo badala ya kuja na njia ya kuleta utengamano na amani, yeye ni matokeo na sio chanzo, nafikiri hata wewe ungekuwa mkweli bila upendeleo unge questions baadhi ya vifungu ktk waraka, je vinajenga au vinazidisha mgawanyiko kwa sasa?
Sawa Mali zimeporwa,je adhabu ya kupora na kuharibu Mali ni kifo?Bahati mbaya sina nafasi ya kuleta hapa ila hata kama wewe ukiwa na uchambuzi huru bila kuchukua upande kwa huo waraka utaona kabisa kuna sehemu muhimu nayo wameiacha na hawakuipa umuhimu mkubwa na hasa upande wa vurugu na uharibifu na uporaji na hapa ndo chanzo pia cha nguvu kubwa iliyotumika ( sijasema ni haki kwa dola kutumia nguvu kubwa hiyo lkn ndo chanzo cha kuwa provoked kwao)
Hivi kwa hali ile na nyingine nili shuhudia kwa macho yangu ingeachwa vile bila udhibiti ndani ya siku tatu au nne uharibifu wa ajabu na vifo vingi sana vingetokea na labda fujo baina ya raia kwa raia ingetokea kubwa
Tunaweza kuwaita majina ya ajabu ajabu polisi wetu lakini kiukweli wamejitahidi mno na nawapa pongezi kwa hilo na sio sawa labda kufikia kutumia nguvu kubwa kama ile lkn haitoi ukweli kwamba bila wao jamii/nchi ilikuwa inaenda kuwa lawless society na madhara na vifo vingekuwa vingi mno
Na swali fikirishi kwako mkuu japokuwa sio kwa umuhimu mkubwa, kibaka wa mtaani mnaweza wananchi mkamuua kwa kuiba labda hata sahani ya ubwabwa lkn leo mnawatetea hii ni double standard na hapa sisemi kwamba wote walikuwa ni vibaka na wizi lkn waliwaponza hata raia wema kwa matendo yao na ikawatokea ile unakuwa ktk wrong place, wrong time (siku zote watu wanatakiwa kuheshimu sheria sio kuchagua wapi pa kuheshimu na wapi sio)
Unayejiita BIG SHOW, unatakiwa ukiri kuwa Wewe ni shetani kichaa, usiyejitambua, ndiyo maana umebakia kuropoka hovyo hovyo!Friends and Our Enemies,