Hayo haulizi,,,,kaka jana nimeenda na shemeji yako government hospital huwezi amini ultrasound ya hospital haifanyi kazi ikabidi wanidirect hospital ya roman afu ndo nitoke. Navipimo kule niwaleteeeMbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.
Katoliki ni Mvumbuzi wa Mifumo ya Utawala Duniani.Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Ukomunisti haukatai ukwell unaopingana na ujenzi wa tabaka la walionavyo na walała hoi! Kila anapinga matabaka yu pamoja nasi. Wapo wanaojiita Wakomunisti lakini wanajenga usultani kwa kuwarithisha watoto wao madaraka uwaziri ukuu wa wilaya n.k. na kuwaacha watoto wa wengine kuzurura kila mahali na bahasha kubwa za kaki wakitafuta ajira hata za kujitole!Wewe ni mkomunisti ?
Kwani wanatoa huduma bure?Mbona huulizi wanapojenga shule, hospitali, vyuo vyaufundi na vikuu, n.k. wananchi wanakosa huduma bora kulifanya kanisa lotumie rasilimali zake kutoa huduma hizo, sababu ni mfumo mbovu wa kisiasa. Hivyo wameamua na wao(ni sehemu ya raia) kutaka mambo yakae sawa ili kupunguza mzigo kwa kanisa.
Mkomunisti na support ya dini na siasa. Mkomunisti uchwaraUkomunisti haukatai ukwell unaopingana na ujenzi wa tabaka la walionavyo na walała hoi! Kila anapinga matabaka yu pamoja nasi. Wapo wanaojiita Wakomunisti lakini wanajenga usultani kwa kuwarithisha watoto wao madaraka uwaziri ukuu wa wilaya n.k. na kuwaacha watoto wa wengine kuzurura kila mahali na bahasha kubwa za kaki wakitafuta ajira hata za kujitole!
Kwani TEC hawalipi kodi? wakisifia mbona mnafurahia? kazi ya kanisa ni kulinda maslahi ya wananchi. Wajinga wakubwa nyieNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Shule nzuri zote ni za KatolikiMbona hata mambo ya kijamii wanahusika?. Bugando, SAUT etc
Aisee kuhusu vita labda umesahau waliokimbilia kutafuta hifadhi wakachomwa mule mule na kuuwawa kanisani kwenye vita ya Hutu na TutsiFaiza. Kanisa lina uzoefu wa zaidi ya miaka 1000 pale wanapokaa kimya hali mbaya ikajitokeza. Vita ikijikeza watu hukimbilia kanisani tena kanisa katoliki. Hivyo wameamua kutosubiri kipokea wakimbizi bali kuzuia hali mbaya kwa gharama yeyote ile.
Acha uhayawani we ustazati dini inapaswa kujali mwili na roho ndomana dini zamaana zinajenga shule,hospitali,vituko vya yatima nk. nk.Huelewi wabarikiwa wanavyokuwa kimbelembele kila sehemu?
Kitu cha kwanza ambacho wabarikiwa wanaondolewa ni haya, hawana haya hao wala hawajuwi vibaya.
TEC ni chombo cha kidini au chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
Kutoa tu maoni umeshakasirika. Wametoa maoni kwamba wafanyakazi wa serikali wasihusike kwenye kusimamia uchaguzi. Kuna kosa hapo.TEC ni chombo cha kidini au chama cha kisiasa kisicho rasmi ?
TEC ni chombo cha kidini au chama cha kisiasa kisicho rasmi ? Huna tatizo wewe
Weee Jamaaa akili zako ni bure kbs...kifupi huna ulijualo kuhusu maswala ya diniKwani kuna ulazima wa wao kuhusika ?
Waambie mkuu hasa wale wanaochagua waganga wa kienyeji kuongoza taasisi za dini/madhehebu yao!TEC ni Taasisi pekee iliyo na viongozi wenye maono ya nchi na sio chawa wa kujipendekeza. Wanaoishtumu TEC hawana hoja ya kupingana nao, ila kutetea na kutaka kuuendeleza usułtani wa chama kile. Ukweli wake unawatishia sana mafisadi na madalali wa nchi hii! Ukisikia kelele gizani ujue jiwe limewapata🫢🫢🫢
Jakaya Kikwete ni dini gani!??
Acha kufananisha BAKWATA na TEC! BAKWATA wao wameamua kujinasibisha na CCM moja kwa moja, umeona wapi TEC wakifanya hivyo? wao wanatoa maoni kama taasisi inayoaminiwa na kuongoza sehemu moja wapo ya watanzania. Uwe unatafakari kabla ya kuandika!Mbona hauulizi Bakwata?
Habari za kimungu na habari za kisiasa zote zinamhusu binadamu.Wewe mwenye akili kazi ya madhehebu ni kutangaza habari za kimungu au kujishughulisha na harakati za kisiasa ?
Elimu duni! Uelewa wa kiujima ukaririshwaji wa dhana endelevu wa mambo ndio unaofanya utukane badala ya kujibu hoja. Mjadala nawe nimeufunga kwani unaulewa mdogo wa mambo kufanya nawe dialogue !Mkomunisti na support ya dini na siasa. Mkomunisti uchwara
Dini si ndio moja ya mambo yanayo tengeneza matabaka ya wanyonyaji au hata vitu alivyokuwa anapinga Karl Marx huvijui
Wewe ni dini gani ewe mkomunisti uchwara?