stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Umeandika nini hapo?.... kwanza pendekeza mitihani ifutwe maana inawabagua wengine na kuwaacha baadhi! Wote si waendelee kila hatua ya elimu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika nini hapo?.... kwanza pendekeza mitihani ifutwe maana inawabagua wengine na kuwaacha baadhi! Wote si waendelee kila hatua ya elimu tu?
hapa watakuja na mapovu tu ,usitegemee majibu ya kuelewekaNgoja waje wakupe majibu yao ushibe.
🚶🚶🚶
Hii si ni taasisi ya dini ?taasisi ya dini inaruhusiwa kuchochea ubaguzi?TEC Mnawaonea. Peleka shule nyingine kazin lazima Kusoma kwao
Endeleeni kutetea ubaguzi kupitia taasisi za dini,soon mtaona madhara yakeIli wajaze zero kama mwanao katemwa mpeleke serikalini.
Watu wanamaintain performance status.
Serikali iboreshe shule zakeTunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Hata wewe unatetea ubaguzi aisee?Peleka mwanao Madrasa
Hivi shule kama Tagaste ni Seminary?Anataka wanaofeli Seminary wasitimuliwe
Hiyo elimu unapewa bure? Kama si bure shule ziko nyingi kutokana na bajeti yako, ama fuata ya imani yako. Tofauti na hapo hoja yako haina mashiko.Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Mpuuzi kama umetumwa ukadhani mfumo wa kanisa Takatifu Katoliki la Mitume ni la kienyeji imekula kwao. Nyaraka za kanisa hazitolewi kwa shinikizo,Wala maelekezo ya mtu yoyote isipokuwa na kwa kanisa lenyewe SUO MOTO. Nyaraka unazosikia ni za kichungaji na zilikuwrpo tangu kuanza kwa kanisa na unaweza kuziona kwenye biblia, kwa wagalitia, wakorinto, wakolosai nk. . ROMA LUCUTA CAUSA FINITATunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
Shule za kikatoliki hazitaki watu ma zwazwa.Tuliosoma Itaga seminar tupo humuTunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
😄😄😄Hata wewe unatetea ubaguzi aisee?
Kwa mawazo yako haya, ina maana hata wanafunzi waliopata Division 0 form 4, waendelee form 5, wakiachwa ni ubaguzi. Na waliopata division 0 form 6, waendelee chuo kikuu, wakiachwa ni ubaguzi!!Tunaomba baraza katoliki la maaskofu (TEC) kukemea kwa sauti moja ubaguzi unaofanyika chini ya shule ambazo zinaendeshwa na kanisa katoliki hapa nchini.
Ni muda sasa shule husika kuchagua wanafunzi kwa misingi ya kuhakikisha ya kwamba mwanafunzi yoyote yule ambae anaonekana kutokuwa na uwezo wa kimasomo anatengwa ama kwa kuhamishwa shule au kurejeshwa nyumbani.
Shule ambazo zimekuwa sugu kwa kutoa elimu kwa ubaguzi ni pamaja na Santa Augustine (Tagaste),St joseph na nyinginezo nyingi tu.
TEC ni taasisi kubwa hivyo tunawaombeni mtoe kauli moja kuhusu utoaji wa Elimu kwa misingi ya ubaguzi ambao umeota mizizi kwenye shule zinazomilikiwa na TEC na hata zile ambazo zimeamua kwa makusudi kabisa kuiga huu unyama kwenye utoaji elimu hapa nchini.
Tanzani yetu ni moja.
😄😅😃😀😁😃😃😃😃😅😅😀😀😁😁Tunapenda sana shortcut bila kuweka juhudi. Mtoto anakaa kwenye TV Jumatatu mpaka Jumatatu, mzazi yuko busy na iPhone 15 then anataka TEC wamuingize tu kwenye shule zao bila kufaulu.
Ndugu yangu umeleta post yenye upeo mdogo sana wa fikra.Hii si ni taasisi ya dini ?taasisi ya dini inaruhusiwa kuchochea ubaguzi?