TEC tunasubiria waraka wenu kwa hamu, mnakuja na lipi awamu hii?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".

Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?

Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.

Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.

CCM,kweli hakika KIDUMU.
 
Waraka wa TEC unakunyima usingizi usiku wa maneno unaanzisha uzi halafu unajidai hutojali!.
Taarifa ya kijana wao pia imekuja usiku usiku

Hata wewe si unaona uko macho?hata TEC haijalala muda huu wanatafakari
 
Kwamba kuondoka Kwa nchimbi kanisa catholic litakufa kwani Nchimbi ni nani kwenye kanisa au TEC

Wapi nimesema kitakufa MKuu

Nimesema tunasubiria waraka kwa shauku,usinijazie maneno yako ndugu yangu.

Bwana yesu asifiwe sana.
 
Friends and Our Enemies,

Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".

Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?

Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.

Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.

CCM,kweli hakika KIDUMU.
Unajaza server za JF na haya matakataka yako
 
Sisi wengine tunamsubiri sheikh Saidi Mwaipopo na sheikh Pembe (imamu wa msikiti wa mtambani magomeni DSM).
 
Friends and Our Enemies,

Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".

Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?

Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.

Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.

CCM,kweli hakika KIDUMU.
Utasubiri sana! TEC ni The professionals sio amateurs! HAWAKURUPUKI!
 
TEC hawajawahi kutoa waraka sababu ya waroho wa madaraka kuvuana vyeo, TEC sio Bakwata .

Wapi wewe Matamko yalikuwa sana kipindi cha Mzee Jakaya Mrisho Kikwete

Nasasa na awamu ya kwanza ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan wametoa Matamko kadhaa
But kwasasa TEC wamegundua Rais Dk Samia Suluhu Hassan sio wa kuchezewa ndiomana
wamefumba Domo na
Maunafiki yao✍️
 
KANISA KATOLIKI ni wapiga Deals
Hawapo kumtetea chochote hakuna cha Haki za Binadamu wala ushuzi wowote

Mifano chunguza Tanzania wkt Marais ni Wakatoliki Rip JPM
Njoo na Rip Benjamin William Mkapa

Je kipindi kile KANISA lilitoa mchango wowote juu ya Demokrasia au Haki za Binadamu
Hakuna kitu chochote wamefanya
Kimyaaa

Lissu kupigwa risasi Dodoma KANISA Kotoliki kimyaaa

Leo Lissu yupo Mahakamani hajapigwa hata kibao 👈

Yupo pale kufatana na Sheria wanapigana kelele waziwazi na
Kipropaganda ❌️

Twende Uganda Rais mu7 ni Mkatoliki
Chunguza Demokrasia ipo pale????
Je Haki ipo pale ??
Wapinzani pale Uganda wanapitia mateso makubwa sana
ndugu kiiza Basigye nk.

Nenda Zaire ya zamani sasa ni Congo
Wkt wa Mabutu Seseko Mkatoliki
Jamaaa kaishi kama Mfalme pale Zaire KANISA Kotoliki kimyaaa
Hakuna Demokrasia yoyote
Mpaka wanaume wakaingia Msituni kwa Mtutu kumtoa

Tangu siku wamefanikiwa Usalama wa Congo hawataki kusikia Rais kutokea katoliki

Jamaa wapo tu kupiga Deals zao wkt RAIS hakiwa wa kwao mana wanapata uhakika hawatokamatwa
Kuchunguzwa

Nawewe Rais wao kutetea utawala wako ‼️
fanya chochote wewe nyonga idadi yoyote weka Lupango
Wapinzani wao kimyaaa na zaidi wanakatazana kuingilia Siasa ndani kwa ndani👈

KANISA katoliki pale Rwanda walikuwa wananufaika na Utawala wa Wahutu 👈

Baada kutokea yale Mapinduzi ya Kagame ambaye ni
kabila la Mtusi 👈

Wakashirikiana na Wahutu kuwauwa Watusi 😥‼️

Ndio unaona Mauaji makubwa pale Rwanda na kwenye baadhi ya Makanisa ya kikatoliki 👈

Wale raia Watusi waliokimbilia kwenye Makanisa ya kikatoliki wakafa wote baada ya Viongozi wa Dini kuwaita Wahutu waje
kuwashughurikia 👈

kazi kwako kuendelea kuamini KANISA Kotoliki lipo kutetea HAKI YAKO au YAO ❗️✍️
 
Back
Top Bottom