Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Ww boga usiwananishe Tec na taasisi zako zakishamba takataka ww sio bakwata hao subiri muda utaongea
Watu wamekupuuza!Unawajua hao jamaa au unawaskia skia tuh.?
🚮Friends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
Hukuwepo kwenye Maulid? Ulimsikia Mufti Zuberi alichosema?Bakwata wameingiaje apo!!
Na lini Bakwata wametoa tamko kuusiana na Siasa za ndani ya Chama‼️‼️???
CCM iko shida nani anatakiwa kushangilia hapa?Bado Hamjsema
Tunataka mseme vizuri
Dogo una shida pahalaFriends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
Uone aibu kidogo.Je kipindi kile KANISA lilitoa mchango wowote juu ya Demokrasia au Haki za Binadamu
Hakuna kitu chochote wamefanya
Kimyaaa
Uone aibu kidogo.
TEC walikosoa ukandamizaji na uovu uliotokea ktk uchaguzi wa serikali za mitaa wakati wa Magufuli.
Wewe mzee ungeachana na hao jamaa vichwa vyao vipo sawa sana kutokana na Elimu ya kweli ipo kichwani..
BAKWATA umewauliza?Friends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
Elimu gani wewe huiabudu?Elimu gani sasa
Elimu ya dini nayo ni elimu??
Wangekuwa na elimu wasingevaa magauni
Elimu gani wewe huiabudu?
Nyie huwa mnavaa chupi zile?? Zile kanzu ni chupi?Friends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
Ukivaa kaboka na kipedo ndiyo unakuwa mjanja?Wewe jamaa ni bwege mwili mzima.Unasema wana elimu...wale wavaa magauni wana elimu gani?
Hujui kwamba ametoka Katoliki anaingia Katoliki?Friends and Our Enemies,