THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Najua deep inside unateseka ila unajitutumua tu hapa.
Sasa hapa TEC inahusikaji shekh mwaipopo
Waraka wa TEC unakunyima usingizi usiku wa maneno unaanzisha uzi halafu unajidai hutojali!.Tunasubiri waraka kwa shauku kuu
Taarifa ya kijana wao pia imekuja usiku usikuWaraka wa TEC unakunyima usingizi usiku wa maneno unaanzisha uzi halafu unajidai hutojali!.
Kwamba kuondoka Kwa nchimbi kanisa catholic litakufa kwani Nchimbi ni nani kwenye kanisa au TEC
Unajaza server za JF na haya matakataka yakoFriends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
TEC hawajawahi kutoa waraka sababu ya waroho wa madaraka kuvuana vyeo, TEC sio Bakwata .
Sisi wengine tunamsubiri sheikh Saidi Mwaipopo na sheikh Pembe (imamu wa msikiti wa mtambani magomeni DSM).Friends and Our Enemies,
Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything".
Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na kumsimanga kijana wao atingishe kibiriti au ni yeye mwenyewe aliamua tuh kwa kuona kwamba anaweza kuicheza hiyo sindimba dhidi ya chama chake?
Hakika ya kaisari ni vema akaachiwa kaisari lakini kwa jinsi tunavyowafahamu wavaa magauni suala la kumwachia kaisari yanayomuhusu ni gumu sana kwao.
Sasa tunasubiria kwa shauku kubwa,je waraka wao wa kipindi hiki utagusa kwenye muktadha upi.
CCM,kweli hakika KIDUMU.
TEC hawajawahi kutoa waraka sababu ya waroho wa madaraka kuvuana vyeo, TEC sio Bakwata .
Sisi wengine tunamsubiri sheikh Saidi Mwaipopo na sheikh Pembe (imamu wa msikiti wa mtambani magomeni DSM).
Utasubiri sana! TEC ni The professionals sio amateurs! HAWAKURUPUKI!Friends and Our Enemies,