THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,873 Reaction score 15,267 Aug 27, 2026 Thread starter #41 fazili said: Hujui kwamba ametoka Katoliki anaingia Katoliki? Click to expand... Alete sasa nayeye fyoko fyoko kama mwenzake kisha aone CCM toka lini ikaogopa wanaume wanaovaa magauni??
fazili said: Hujui kwamba ametoka Katoliki anaingia Katoliki? Click to expand... Alete sasa nayeye fyoko fyoko kama mwenzake kisha aone CCM toka lini ikaogopa wanaume wanaovaa magauni??
THE BIG SHOW JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 18,873 Reaction score 15,267 Aug 27, 2026 Thread starter #42 Moisemusajiografii said: Ukivaa kaboka na kipedo ndiyo unakuwa mjanja?Wewe jamaa ni bwege mwili mzima. Click to expand... Sasa si bora mimi navaa kaboka je hao wanaovaa magauni utasemaje
Moisemusajiografii said: Ukivaa kaboka na kipedo ndiyo unakuwa mjanja?Wewe jamaa ni bwege mwili mzima. Click to expand... Sasa si bora mimi navaa kaboka je hao wanaovaa magauni utasemaje
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Aug 27, 2026 #43 THE BIG SHOW said: Elimu gani sasa Elimu ya dini nayo ni elimu?? Wangekuwa na elimu wasingevaa magauni Click to expand... Mavazi sio Elimu wewe unadhani waliogundua maandishi miaka ya kale walivaa nini shida mzala umedumaa sana aisee..
THE BIG SHOW said: Elimu gani sasa Elimu ya dini nayo ni elimu?? Wangekuwa na elimu wasingevaa magauni Click to expand... Mavazi sio Elimu wewe unadhani waliogundua maandishi miaka ya kale walivaa nini shida mzala umedumaa sana aisee..
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Aug 27, 2026 #44 THE BIG SHOW said: Sasa si bora mimi navaa kaboka je hao wanaovaa magauni utasemaje Click to expand... Dini zote za mabeberu na waarabu hizo mzala zimekuja kwa mashua na wengine wamesambaza vijijini kwa punda usitofautiane na watu kwa sababu ya dini za wazungu na waarabu mkuu..
THE BIG SHOW said: Sasa si bora mimi navaa kaboka je hao wanaovaa magauni utasemaje Click to expand... Dini zote za mabeberu na waarabu hizo mzala zimekuja kwa mashua na wengine wamesambaza vijijini kwa punda usitofautiane na watu kwa sababu ya dini za wazungu na waarabu mkuu..
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,994 Reaction score 24,902 Aug 28, 2026 #45 THE BIG SHOW said: Alete sasa nayeye fyoko fyoko kama mwenzake kisha aone CCM toka lini ikaogopa wanaume wanaovaa magauni?? Click to expand... Wanawaogopa vibaya ndo maana S alichanganyikiwa siku ile akaomba msaada ya ma-sheikh ubwabwa na kila mara anawakimbilia hao hao Katoliki.
THE BIG SHOW said: Alete sasa nayeye fyoko fyoko kama mwenzake kisha aone CCM toka lini ikaogopa wanaume wanaovaa magauni?? Click to expand... Wanawaogopa vibaya ndo maana S alichanganyikiwa siku ile akaomba msaada ya ma-sheikh ubwabwa na kila mara anawakimbilia hao hao Katoliki.