Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Nimevurugwa ujue kisa cha kupewa bandari ni kubet, tulibet na sa100 yeye aliweka bandari zote za Tanganyika mi nikaweka kontena la tende za madina. Yeye alisema Arsernal itachukua EPL, mimi nikabet kwa Man City. Mkeka wangu ukatiki sasa mnanizungusha nini.Ni TEC sio TEK we mwarabu Koko uliyeshindwa😁
Mbona waraka hamkuuleta Miskitini ?
DPW waliwapa baadhi ya viongozi ahadi ya tendeMbona waraka hamkuuleta Miskitini ?
Leo tumevaa KITENGE cha wawata mungu ni mwema wala hatuajenda na kiti chetu kanisani.Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika ningetimua think tank yote nianze upya potelea mbali.
Anyways, Bandari nyie hamna uwezo wa kuziendesha hata nikiwaachia.
ni TEC au TEK, humeshanchanganya kwantha mpaka hapoMimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika ningetimua think tank yote nianze upya potelea mbali.
Anyways, Bandari nyie hamna uwezo wa kuziendesha hata nikiwaachia.
Asanteni TEC au TEK, humeshanchanganya kwantha mpaka hapo
Waraka wa TEC ulitetemesha, nimeyamisi makucha ya TEC dhidi ya mafisiemuMimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika ningetimua think tank yote nianze upya potelea mbali.
Anyways, Bandari nyie hamna uwezo wa kuziendesha hata nikiwaachia.
Mkataba unaisha lini?Mimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika ningetimua think tank yote nianze upya potelea mbali.
Anyways, Bandari nyie hamna uwezo wa kuziendesha hata nikiwaachia.
Nakujenga misikiti kwa kuanza na mkoani Mbeya na ZanzibarDPW waliwapa baadhi ya viongozi ahadi ya tende
Kupenda dezo kwenye imani ninachukia sana.Nakujenga misikiti kwa kuanza na mkoani Mbeya na Zanzibar
Unaanza lini kwani😁Nimevurugwa ujue kisa cha kupewa bandari ni kubet, tulibet na sa100 yeye aliweka bandari zote za Tanganyika mi nikaweka kontena la tende za madina. Yeye alisema Arsernal itachukua EPL, mimi nikabet kwa Man City. Mkeka wangu ukatiki sasa mnanizungusha nini.
Kwa Mungu kila goti litapigwa😁Leo tumevaa KITENGE cha wawata mungu ni mwema wala hatuajenda na kiti chetu kanisani.
View attachment 2782304
Kwa bwana Yesu kila goti litapigwa.Leo tumevaa KITENGE cha wawata mungu ni mwema wala hatuajenda na kiti chetu kanisani.
View attachment 2782304
Ni wa mileleMkataba unaisha lini?
Nasikilizia mchongo fulani kwanzaUnaanza lini kwani😁