Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Parokia nyingi walisoma wiki moja tu. Mimi ni Mkatoliki kindakindaki na ninasali Parokia ya Msewe, UbungoMimi waraka haukunitisha sana japo ulikuwa na facts, ila kilicho nitisha ni zile wiki 6. Kwa wasio fahamu nenda kasome saikolojia ya kuamini ukisha maliza utagundua ni kwanini ulisomwa kwa wiki 6 sio zaidi au pungufu.
Kama kuna mahali serikali inapaswa isijichanganye ni hapa. Ningekuwa nahusika ningetimua think tank yote nianze upya potelea mbali.
Anyways, Bandari nyie hamna uwezo wa kuziendesha hata nikiwaachia.