Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Kansa huwa inaanzia mbali sana.Huijui TZ. Sasa hapa wamemtikisa nani, kama si kutikisana wenyewe kwa wenyewe.
Miezi 6 imepita, mkataba umesainiwa. Tunasubiri matokeo tu, 60% ya serikali. Endeleeni kujiaminisha kuwa mmetikisa.
Lakini matokeo yake huwezi kurevise.
Shangilia kansa