TEC wameiva kisaikolojia, waraka kusomwa wiki 6 mfululizo si bahati mbaya

Huijui TZ. Sasa hapa wamemtikisa nani, kama si kutikisana wenyewe kwa wenyewe.
Miezi 6 imepita, mkataba umesainiwa. Tunasubiri matokeo tu, 60% ya serikali. Endeleeni kujiaminisha kuwa mmetikisa.
Kansa huwa inaanzia mbali sana.

Lakini matokeo yake huwezi kurevise.

Shangilia kansa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…