Imetolewa na taasisi gani?Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
View attachment 3529686
Hongera sana KatolikiHongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
View attachment 3529686
Inafanana na Ile ilyompa tuzo kabambe Samia wiki iliyopitaImetolewa na taasis gani?
Sawa wazee wa jeshi lipo upande wenu waharibifuInafanana na Ile ilyompa tuzo kabambe Samia wiki iliyopita
Angalau jeshi liwe upande wa waharibifu kuliko kuwa upande wa wauaji.Sawa wazee wa jeshi lipo upande wenu waharibifu
Kama yale ya wakatoliki wa vijora.Maigizoooo
Kumbuka muda ule mtaani kulikuwa bado kuna maiti zimezagaa hali ilikuwa tete sana bado. Isingekuwa heshima pia kwa wote waliokufa halafu ziandaliwe shughuli za uapisho ambazo zina sura ya furaha.kutamka neno HAKI umekuwa msamiati mgumu sanachini ya serikali hii ya raisi MUUAJI.
Unashinda kwa 98% kisha unaapishwa na wanajeshi tena ukitokea NGERENGERE MAFICHONI JESHINI?
Aibu hii
Taasisi gani imetoa hiyo tuzo?. Ongeza nyama kwenye andiko lako.Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana.
View attachment 3529686