TEC yashinda tuzo ya taasisi bora ya kidini inayosimamia misingi ya haki nchini

Baraza la maaskofu la chadema (TECDEMA) ndo wameandaa hyo tuzo na kusainiwa na heche.
 
TEC na Chadema Mungu awabariki sana. Mnafanya kazi yake

CCM nao wapewe wanatetea sana haki. Kada wao Polepole alivyotekwa walipiga sana kelele
 
Mashehe ubwabwa kama wamechefuka wanywe sumu ya panya wafe!
 
Hongera TEC kwa kusimama kwa ujasiri,weledi,umahiri na uaminifu uliotukuka katika kusimamia misingi ya haki.

Haki huinua taifa.
 
Ngoja baadhi ya Masheikh ubwabwa waje watoe tamko.
 
Kobazi watanuna.
 
Kuna swali halijibiwi humu😂😂😂😂😂 isije kuwa TEC imeanza ya wanasiasa
 
Wengine wameshinda tuzo za rohombaya😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Inatolewa na nani hiyo tuzo?!!!!!!!

Haters wa Samia mna kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…