Tech Hubs za bongo ni miradi ya watu wachache kupiga pesa za misaada (grants) za wazungu ? mbona hatuoni startups zikifanikiwa?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ni miaka nenda rudi wazungu wanatoa dollar kuzisaidia Tech hubs za Tanzania lakini cha ajabu hatuoni matunda ila utakuta viongozi wa start ups wanatumia simu latest zenye bei mbaya, magari mazuri, apartment ghali, nguo za gharama, n.k.

Tetesi ni kwamba Grants zikifika bongo, wakuu wa hubs wachache wanagawana sehemu kubwa ya hio misaada, kinachobaki ndio wanatoa kwa watu wenye projects lakini bado huwa kuna kupeana kwa kujuana mfano uwe ndugu au rafiki wa flani, watu wenye real solutions na skills wanaweza wasizipate. vijana wengine wanachukuliwa wanazunguka nao kwenye matamasha na maonyesho yao, yakiisha maonyesho kila mtu atajijua mwenyewe hamna kinachoendelea, shughuli hizi wanaziandikia pesa nyingi kujustify matumizi ya zile pesa za misaada wanazopewa, mwaka ujao ni hivyo hivyo tena inakuwa kama cycle.
 
Kwa mara ya kwanza na soma post iliyo na ukweli hapa. Kuna watu watanununa lakini bro umeongea 💯
 
Bongo kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake + urefu wa ulimi wake
 
Suala la kupata grants bora utafute mwenyewe tu na startup company yako na sio hizi za kupewa kupitia taasisi/shirika
 
Inabidi ufahamiane na wazee wa costech bwashehe
 
Haya mambo ukifatilia unakuwa chizi....
 
Bongo kila kitu ni connection kama ze blutooth divaisi is not redi to pea utalalamika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…