"Technically" Godbless Lema hawezi kurejea nchini mpaka baada ya miaka Mitano (5)

"Technically" Godbless Lema hawezi kurejea nchini mpaka baada ya miaka Mitano (5)

Tatizo la Canada ni Kodi kubwa yes hudum za kijamii ziko vizuri bali ni practical impossible kutengeneza utajiri ukiwa unaishi canada na kunaboa sana ni tofauti na states
Umenena vyema. Ukweli ni kuwa Mwanasiasa wa kiwango cha ubunge anatengeneza pesa nzuri na anaishi maisha mazuri na yenye heshima kwa Jamii kuliko Prof au Dr mweusi anaefanya kazi Canada, UK, Australia and alike. Kule watu wanafanya kazi hawana maisha ya kulu bata huko ni kazi sana na kulala kidogo. Bills za kufa mtu, kodi kubwa na above all sheria kali za serikali zao na kuna kitu kinaitwa systematic racism. To be black in Europe or America its like a criminal stamp on your chest and your back. Police atakusi mamisha na kukukagua simply you drive a porsh car. Ukiingia supermarkets unafuatiliwa kisiri siri. Huyo mtu utamli nganisha na mbuge Mh Msukuma? Kwanza huyo Lema alipo- claim asylum Mpakani yaani pale airport passport yake ya Tanzania ili chukuliwa na kupewa likaratasi la ukimbizi huku akizuiwa kufanya kazi mpaka ombi Lake litakapo Kubaliwa. Kuwa mkimbizi ni karaha na kazi kweli kweli. Niliwahi kuishi nchi hizo na kuyashuhudia matatizo yao.
 
Anabweka tu hataki kuja kung'ata.
FB_IMG_1651214644718.jpg
 
Unajidanganya na theories zako za uongo, ingekua hivyo basi wasomi wengi wangebakia Afrika. Nafikiri wewe ndio wale wa akili za kula bata ni kunywa Castle light pale Samaki samaki mlimani city. Na hizo theories zako za kizamani kweli kweli, watu weusi wa kazi za kawaida kabisa wanavuta magari ya nguvu na hamna polisi yoyote wa kukusimamisha. Bata gani anakula huyo msukuma??? la kunywa Konyagi na kucheza kifua wazi.?? Hivi unajua bata wewe???Nani akufatilie supermarkets karne ya 21??? sasa hivi kila kitu wireless wewe, CCTV kila kona . Kwa kifupi akina Lema maisha wenzako ya kikimbizi wameyapatia watoto wao wanasoma shule za viwango free style, kitu ambacho bongo walikua wanasota,nyumba free na hawalipi kitu chochote!!huyo Lema mwenyewe kakimbia bongo madeni hadi matakoni.
 
Yaani umemuongelea Lema kama vile alikua ombaomba hana maono, hana biashara kapigika n.k. hivyo hivyo mtasema kwa Lissu.

Kwani kama ya yeye kwenda huko watoto wake walikua hawasomi shule nzuri? Je uliwahi kusikia akitaka kwenda kuishi nje ya nchi?

Je Lema alikua ni mshamba hajawahi kwenda ulaya au marekani?

Hii hoja yako ni mfu kwa mtu kama Lema. Ingekuwa na nguvu kama Lema angekuwa na maono yako ya kutaka kwenda kuishi kwa wazungu na kapigika.

nitakujibu kwakua hujaelewa

kwanza nimeanza na neno "Technically"

Bro, Mbunge wa Tanzania hana uwezo wa kusomesha watoto 4 IST bila kukopa/KUIBA kwa miaka 10

Naongelea kuhusu unyoofu wa maisha yaani upoteze milion 30 kwa mwaka kwa mtoto mmoja kama una wanne unapoteza 120m wakati elimu hiyo hapa anapata bure
 
Back
Top Bottom