"Technically" Godbless Lema hawezi kurejea nchini mpaka baada ya miaka Mitano (5)

Kwahyo wakuu mnaojua hivi vitu inamaana Roma nae anaishi bure na kulipwa posho huko USA?

Hata ningekuwa mimi nisingerudi, mtu kama Roma hiyo ni chance ya maisha hakuwa na ndoto za kukanyaga USA achilia mbali kuishi bure.
 
...Kuwa mkimbizi ni karaha na kazi kweli kweli.
Ni karaha kwa kuangalia nje but kwa future ya kizazi chake hakuna karaha mkuu.

Ukweli ni kuwa familia yake as watoto watatusua huko mbele...
 
Vipi madeni yake huku TZ Nani anapaswa kulipa kisheria?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…