We huelewi vita ni nini, kama UNAFKIRI vita ni Body count hutaelewa chochote kuhusu hao jamaa,
Palestina wamepata hasara kubwa sana wananchi, wanawake, watoto wameuliwa, majengo, Hospitali etc vyote vipo katika hali mbaya ni kweli.
Ila kwenye medani ya Vita Hamas hajapigika,
1. Objective yake ya kubadilishana Mateka ambayo ipo tokea vita vinaanza imefanikiwa Makamanda wao wanaachiwa huru.
2. Wamepigana Ana kwa Ana na jeshi lenye kila aina ya Vifaa kwa zaidi ya mwaka bila kutetereka, Hii inawapa Confidence zaidi kwa vita vijavyo.
3. ukumbuke silaha za sasa hivi Hamas wanatengeneza wenyewe na mabomba ya maji na screpa za Chuma, mabomu yote waliyopiga Israel, vifaru vyao vilivyoharibiwa, na scrapper zote wanazo acha hapo ndio raw materials wamewapelekea Hamas watengeneze
4. Kwenye Diplomasia ya kimataifa wamefanikiwa kuidondosha Israel hadi sasa Nchi kibao Viongozi wa Israel hawawezi kwenda etc.