Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka kutengeneza kuunda special program kwa ajili ya kazi ya special effects.
Kuna scene moja ambapo Neo anafukuzwa na moto, ina sekunde sita ila ilichukua miezi 6 kuikamilisha kuufanya ule moto uwe perfect.
Baada ya utengenezaji, waliandika paper kwa ajili ya watu wengine kutumia katika kutengeneza effects, maana walikuwa wamekuja na mbinu mpya za kutengeneza effects mbalimbali, kuchukua picha ikiwemo bullet, time slice, nakadhalika ambapo iliset standard for future science fiction action movies.