Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
cgi is nothing bila kipajiKiukweli Hiyo movie kama ingetengenezwa kwa Teknolojia ya sasa basi wasingechukua muda mrefu hivyo. Softwares za sasa ziko vizuri mno kucheza na CGI.
lord of the rings ambayo wametumia make up za kawaida na tech ya kizamani ni nzuri sana machoni kuliko Hobbits yenye cgi za kutosha. story moja, producer mmoja etc