isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Wazo zuri sana, tatizo la Afrika ni kutokuwa tayari kulipia content au kazi za sanaa za mhusika. Unawazo la kuja kiutofauti katika pembe hiyo?Kwanini uumize kichwa chote tafuta technical co-founder tengenezeni mbadala wa Netflix kwa soko la Africa