Technology nyuma ya film making

Technology nyuma ya film making

Thanks, lakini siwezi kufanikisha pekee yangu, inahitaji uwekezaji na rasilimali watu.
-
Arri Alexa amefanya transformation ya teknolojia na hii ndio nguzo muhimu, utaweza kuona hivi sasa anaingia sokoni akiwa na shehena ya vifaa vyenye utofauti na upekee mfano wa Kamera zenye AI (Alexa TrioA, Arri Magix, Arri Alexa Companion na nyingine nyingi) zinazohusika sana katika matukio ya kasi na mazingira yenye utata mfano kupitia katika filamu za Miss Bala, Dark Tower na Valerian and The City of A Thousand Planets hapa amewaangusha RED, SONY, Kodak, Imax na Codex.

Pia utaweza kuona Sony anachia sana uwekezaji katika uchakataji na kuwa msimamizi, filamu nyingi Arri Alexa ameshirikiana na Sony kupitia vitengo tofauti mfano wa Baby Driver na Logan.
Teknoloji ni ngumu sana maana mabadiriko yanakuja fasta, halafu watenenezaji wa Arri Alexa si wajerumani?
 
Jaap! Arri ni Ujerumani ikiwa na HQs Berlin huku masuala ya uchakataji wakifanyia Köln.

Arri wapo nyuma ya major production worldwide.
Ila movies nadhani ni script directing na told kabla ya kuongelea vifaa. Kuna movie zimeshotiwa na iphone kama
1. Unsane
2. Tangerine
3. Detour
4. Romance in NYC
5. 9 rides
 
Hakika 💯

Siku zote wazo zuri ndio litaakisi mwanga wa wapi utafika, vifaa ni additional! Hata video nyingi za muziki ni shot via iPhone, Samsung, RedMI, Google Pixels and co.

Hata Arri Alexa kupitia kwa Mbunifu Kiongozi 'Creative Director' Karl Shultz Kaus alieleza wao hufanya kazi zilizoshindikana na zenye bajeti kubwa, akiamini vifaa sio shida bali scenarios na mazingira ndio uwapa watu ugumu.

Mfano RED na Sony uwezo wa kuchata wanao lakini mazingira kwao sio rafiki, utaweza kuona Arri Alexa akiwa na magari yenye kamera ' CAM Cars ' yenye kuweza kubeba vifaa na kuwa kama kituo ung'amuaji huku likipita katika korongo kitu ambacho ukijaribu na iPhone wataokota mifupa na fuvu.
 
KWeli kabisa, nimeona jamaa flani ana combine, sensors, hydraahulics na motors antengeneza gari zimefungwa winches ambazo hata gari kama inakimbia ikapita kwenye bumps still camera haiyumbi ina mantain the same position.
Umesema video nyingi za mziki wanashoot na camera za simu, naona bongo wasanii wanaamini katika RED kuna jamaa yangu director anakwambia ukienda location bila RED hawakuelewi siku hizi.
 
Jana nilikuwa ninasoma kuhusu franchise ya the matrix, nilistaajabu kwamba filamu ya the matrix revolution ilihusisha wataalaamu wa hesabu, aerodynamics, fluid dynamics, physics, computer engineers, programmers, graphic and animators zaidi ya 200 kuifanikisha. Walienda mbali zaidi mpaka kutengeneza kuunda special program kwa ajili ya kazi ya special effects.

Kuna scene moja ambapo Neo anafukuzwa na moto, ina sekunde sita ila ilichukua miezi 6 kuikamilisha kuufanya ule moto uwe perfect.

Baada ya utengenezaji, waliandika paper kwa ajili ya watu wengine kutumia katika kutengeneza effects, maana walikuwa wamekuja na mbinu mpya za kutengeneza effects mbalimbali, kuchukua picha ikiwemo bullet, time slice, nakadhalika ambapo iliset standard for future science fiction action movies.
kwa wenzetu kila kitu ni kazi inayopaswa kufanywa kwa weledi wa juu kadiri iwezekanavyo
 
Unapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frame
Okay shukrani mkuu
 
KWeli kabisa, nimeona jamaa flani ana combine, sensors, hydraahulics na motors antengeneza gari zimefungwa winches ambazo hata gari kama inakimbia ikapita kwenye bumps still camera haiyumbi ina mantain the same position.
Umesema video nyingi za mziki wanashoot na camera za simu, naona bongo wasanii wanaamini katika RED kuna jamaa yangu director anakwambia ukienda location bila RED hawakuelewi siku hizi.
Sure, hawa Arri Alexa kwa ushirika na Mercedes-Benz waliunda magari maalumu ambayo katika different levels of intervals bado yanafanya kazi mfano uwepo wa slope wenye kipimo cha futi mbili tairi moja litashuka zaidi huku jingine likiwa katika kipeuo cha usawa na likitembea. Imagine Sasa!
-
Hakika video nyingi zimechukuliwa kwa simu na hili na uhakika maana ni mmoja wao, hasa video zisizohitaji Virtual Effects zile Standard Level 1-5.

Jaribu kuangalia Ayla - Infiel, Ayla & Marcoo - Muchacha Cover, Estto - Sensation, Bru Vali Umbra - Visatori na Genc Prelvukaj Ft. Estto - Orhidea kupitia YouTube kwa uchache.

Kamera ni muhimu hilo lipo wazi mfano huwezi tengeneza video ya 8K na 16K kwa kutegemea simu na video ambazo zitahitaji kunyambulishwa na kuchakatwa sana. Mfano RED imekuwa na soko kwa maana kuwa Kamera yenye kiwango cha juu na kuwa na bei yenye uelekeo kulinganisha na Fuji na Arri Alexa pia utumiaji wa RED ni user friendly na RED anayo focus portion point ya kweli kweli.
 
Uko deep sana kwenye haya mambo
 
Unapotazama video au animation assume unarusha ngumi, mkono unapoanza kumove mpaka unampiga mtu, ni muunganiko wa mamia kama zio maelfu ya picha mpaka yanatengeneza kitendo. Hiyo picha moja moja ndo frame
Niliwahi kumwona jamaa anatengeneza katuni ndipo nkajua katuni Ni muunganiko wa picha nyingi. Muvi ya katuni Ni project kubwa.
Yote kwa yote, wazungu wanawekeza
 
Na hii ni moja ya mipango yangu kuona siku moja kampuni iliyobase katika taifa langu ikihusika katika utayarishaji wa filamu ya dunia.
Ipi hiyo Jerusalem production [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thanks, lakini siwezi kufanikisha pekee yangu, inahitaji uwekezaji na rasilimali watu.
-
Arri Alexa amefanya transformation ya teknolojia na hii ndio nguzo muhimu, utaweza kuona hivi sasa anaingia sokoni akiwa na shehena ya vifaa vyenye utofauti na upekee mfano wa Kamera zenye AI (Alexa TrioA, Arri Magix, Arri Alexa Companion na nyingine nyingi) zinazohusika sana katika matukio ya kasi na mazingira yenye utata mfano kupitia katika filamu za Miss Bala, Dark Tower na Valerian and The City of A Thousand Planets hapa amewaangusha RED, SONY, Kodak, Imax na Codex.

Pia utaweza kuona Sony anachia sana uwekezaji katika uchakataji na kuwa msimamizi, filamu nyingi Arri Alexa ameshirikiana na Sony kupitia vitengo tofauti mfano wa Baby Driver na Logan.
Dah... Unatoa madini complex hadi imebidi nipumzike kusoma.
 
kumbe wenye interest na hizi mambo tupo wengi

Movie kuchukua miezi 7,8 mpaka kukamilika ni kawaida hasa kwa hizi big budget films na mda mwingi huwa unatumika kwenye kwenye post production

Mi mwenyewe nikiwa naedit vivideo vyangu uchwara kuexport tu project ya kawaida inaweza chukua masaa sasa hao movie yenye special effects, heavy color correction and grading, music nk inakuaje

Mi napenda zaidi upande wa vifaa kuna jamaa mmoja YouTube huwa namcheki anaitwa Potato Jet ana macamera ya kufa mtu
 
Escape-brand-image.jpg

Wazee wa ESC wakiwa wanafanya yao. Hawa watu siyo level zetu wana develop new systems zinazowork indepently au zina interact na softwares kama MAYA kugenerate effects flani
 
Usisahau kuwa filamu/movie nazo ni sehemu ya njia za kupeleka taarifa kwa jamii, kama zilivyo njia nyingine zitumikazo kwenye TV au REDIO.

Hivyo kila kinachowezekana kuonyesha kitaonyeshwa.
 
kumbe wenye interest na hizi mambo tupo wengi

Movie kuchukua miezi 7,8 mpaka kukamilika ni kawaida hasa kwa hizi big budget films na mda mwingi huwa unatumika kwenye kwenye post production

Mi mwenyewe nikiwa naedit vivideo vyangu uchwara kuexport tu project ya kawaida inaweza chukua masaa sasa hao movie yenye special effects, heavy color correction and grading, music nk inakuaje

Mi napenda zaidi upande wa vifaa kuna jamaa mmoja YouTube huwa namcheki anaitwa Potato Jet ana macamera ya kufa mtu
Hakika hii ni kazi kubwa na yenye kutumia talanta, uwezo, akili na maarifa ni kazi yenye uhitaji wa creativity capabilities na ushirikiano.
 
View attachment 1541486
Wazee wa ESC wakiwa wanafanya yao. Hawa watu siyo level zetu wana develop new systems zinazowork indepently au zina interact na softwares kama MAYA kugenerate effects flani
Utayari na Uwekezaji hapo pia kutumia muda kwa suala unalopenda. Hii kazi akifanya mtu ambaye haipendi wiki mbili atakimbia studio.
 
Back
Top Bottom