Technology nyuma ya film making

Technology nyuma ya film making

Kiukweli Hiyo movie kama ingetengenezwa kwa Teknolojia ya sasa basi wasingechukua muda mrefu hivyo. Softwares za sasa ziko vizuri mno kucheza na CGI.
cgi is nothing bila kipaji

lord of the rings ambayo wametumia make up za kawaida na tech ya kizamani ni nzuri sana machoni kuliko Hobbits yenye cgi za kutosha. story moja, producer mmoja etc
 
cgi is nothing bila kipaji

lord of the rings ambayo wametumia make up za kawaida na tech ya kizamani ni nzuri sana machoni kuliko Hobbits yenye cgi za kutosha. story moja, producer mmoja etc
Hakika Chief

Software do nothing, but talent does. Huwa nikiona/sikia mhusika akisingiza software kuwa sababu ya mkwamo wake nashangaa sana.

Mfano, personally sihitaji Adobe 'Na software zenye mlengo' kukamilisha suala fulani' naweza kutengeneza kitu kile kile kwa njia nyingine.

Naskia watu wanaulizana Adobe Adobe Adobe! Adobe without your head ni kazi bure!
 
nakubaliana na hili 100%, powerpoint chini ya mtu anaejielewa inaweza tengeneza animation kali kuliko After effects.
 
Daah mko deep sana aisee, mi mfuatiliaji mzuri wa movies aisee hapa napata burudan sana kuyafaham haya mambo asee mko safi sana wazee
 
Umeshanichanganya..... Hapo kwenye frame mimi nakuwa naelewa zile frame za kufanyia biashara au frame za maduka.....

Wewe kule MMU kwenye masuala ya wanawake na feminism ndiyo panakufaa! Huku waachie great thinkers mzee baba!
 
Brilliant
scene ya sekunde 15, imechukua miezi 6 kuizalisha

Bongo Muvi, filam ya lisaa 1.5, imechukua wiki 2 ( au pungufu ) kuisha
Tatizo mna diss vya bongomkisahau kuwa Bongo wenyewee wanaitaji msaada wa kusaidiwaaa.wawe kama wao.

Sasa dah hata nisisemee

Wasanii wenyewe kina Wema Sepetu ma Dk Cheni waweze tengeneza Scene kwelii zilizo na Graphic nzurii
 
KWeli kabisa, nimeona jamaa flani ana combine, sensors, hydraahulics na motors antengeneza gari zimefungwa winches ambazo hata gari kama inakimbia ikapita kwenye bumps still camera haiyumbi ina mantain the same position.
Umesema video nyingi za mziki wanashoot na camera za simu, naona bongo wasanii wanaamini katika RED kuna jamaa yangu director anakwambia ukienda location bila RED hawakuelewi siku hizi.
Yeah hii kitu nimeiona kwenye movie nyingi za mavels .. nilikuwa najiuliza wanafanyaje fanyaje..... Asante kwa kunijuza
 
bila kusahau tu uwekezaji pia katika soko la movie ni muhim pia coz bado watu wanaamin bongo movie hawawezi pia hawana support katika soko lao
budget pia zinasaidia kufanya kitu kiwe kizuri nakinachovutia zaidi
 
nakubaliana na hili 100%, powerpoint chini ya mtu anaejielewa inaweza tengeneza animation kali kuliko After effects.
yeap mko sahihi kabisa wakuu kitu kikubwa pia hata trick hukumika katika uaandaj wa movie leo scene moja ambayo wew unaona ni yakawaida tu lakin kila compuni za movie hufanya kwa utofaut wake mfano fire man wa kwenye project power na edit alizofanyiwa na Netflix iko different sana na fire man wa kwenye movie nyngi ulimwenguni kikubwa pia idea ni muhim sana katika sok la movie
 
Kuna Movies Za Indonesia, na Nchi nyengine za South East Asia budget zao za Kawaida tu ambazo hapa Kwetu hatushindwi,

Mfano Raid Redemption ambayo ilihit Worldwide budget yake ni 1m usd tu, ambayo for sure hapa kwetu inawezekana, Ong Bak pia ni 1m,
 
yeap uko sahihi kabisa lakin kama tulivyo sema PowerPoint ya mtu pia ni muhim movie kama the raid ina trick nyingi sana kupita hata effect
 
lakin mkuu kibongo bongo kupata movie yenyew bugdet ya 1m usd sizani kama kuwa muwekezaji anaweza fanya hio kitu
 
Kuna Movies Za Indonesia, na Nchi nyengine za South East Asia budget zao za Kawaida tu ambazo hapa Kwetu hatushindwi,

Mfano Raid Redemption ambayo ilihit Worldwide budget yake ni 1m usd tu, ambayo for sure hapa kwetu inawezekana, Ong Bak pia ni 1m,
Kumbe budget zao ndogo hivyo, ila ni bonge la movie halafu movie kama Ong Bak wameagiza maisha yao loacally japo kuna action ila hakuna magari na modern gadgets kwenye plot ya movie
 
lakin mkuu kibongo bongo kupata movie yenyew bugdet ya 1m usd sizani kama kuwa muwekezaji anaweza fanya hio kitu
Hebu chukulia tamthilia ya siri ya mtungi, ni tamthilia ambayo ni nzuri kuliko movies, na tamthlia nyingi nilizowahi kuona toka tanzania na naweza kusema tamhlia zote. Hakuna vitu vya gharama mle, lakini Duma, Cheche wa siri ya mtungi ni tofauti na akiigiza kwingine.
Mtengenezaji alikuwa serious na alijua anachokifanya, tatizo movies zetu watu wanaamka haya twende tukashoot.
Nilishangaa kwa mfano Adam Juma ndiye alishoot video ya wimbo wa Ney ft Diamond jina sikumbuki lakini ulihit sana.
Ule wimbo una video mbili, maelezo ni kwamba walishoot scenes nyingi wakaona kumbe wanaweza kutoa video mbele. Haya maelezo yalinistaajabisha nikajiuliza ina maana director Adam, wakati anashoot kichwani mwake hakuwa na the whole picture ya final product.
Hii inaonyesha jinsi gani hatuko serious.
 
lakin mkuu kibongo bongo kupata movie yenyew bugdet ya 1m usd sizani kama kuwa muwekezaji anaweza fanya hio kitu
Hawawezi fanya sababu watapoteza Hela zao, watu hawapo serious, ila ku raise hio budget wala sio kazi kwa uchumi wetu. Kama Mtu analipia mashabiki milioni 500 wakaangalie mechi bure atashindwa kutoa $1m kufund movie?

Pia zipo movie kibao ambazo zimepitia fundraiser mbalimbali duniani, unatakiwa tu kuwaaminisha watu unajua kwa kuonesha sample ya unachofanya.
 
Kwanini uumize kichwa chote tafuta technical co-founder tengenezeni mbadala wa Netflix kwa soko la Africa
Natazamia kutengeneza Company itakayokuwa na Sub-Companies itayoweza kuandaa, kutayarisha, kuchakata na kusimamia mauzo. Ikiwa na idara mbalimbali za production kuanzia Line, Post, Production and co.

Just to be the Major Factory of Film, Audiovisuals, Production, Publishing and Mixed Media Art.
 
Back
Top Bottom